LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

10/01/08

KWAYA YA LULU MTONI

Kwaya umaarufu ya muziki wa Injili nchini Lulu Mtoni KKKT, wakiimba wimbo wa Around the Corner. Kwaya hii imekuwa ni maarufu kutokana na wimbo wao wa Lulu ipo mbinguni

KIKUNDI CHA KWAYA YA BARABARA YA 13 ULYANKULU TABORA



Kwaya maarufu ya Kanisa la FPCT, Ulyankulu, Urambo Tabora, iliyowahi kutamba katika medani za muziki wa Injili katika miaka ya 80, inayojulikana kwa jina la Ulyankulu Barabara 13. Kwaya hii ni miongoni mwa kwaya chake hapa nchini ambazo nyimbo zake hazichuji.


MUCHUNGAJI REUBEN KIGAME


Mheshimiwa Martha Mlata, Mbunge wa viti maalum wanawake CCM, Mwimbaji wa nyimbo za Injili na Mpenzi wa Muziki wa nyimbo za Injili kama anavyoonekana kwenye picha hii akimpa zawadi mchungaji Reuben Kigame baada ya kuimba wimbo wa sifa uliowainua watu wengi wakisifu katika tamasha la muziki wa injili uliofanyika hivi karibu jijini Dar. Picha na Andrew Ngai, WAPOMEDIA

MCHUNGAJI REUBEN KIGAME



Mbunge wa Viti Maalum CCM Mheshimiwa Martha Mlata ambaye pia ni mwimbaji binafsi wa nyimbo za injili akihojiwa na Mhariri Msaidizi wa Redio Samaki ya mjini Eldoret Mhariri Msaidizi Grace Muhonja Kirwaye wa Fish FM 97.1 kulia kwa Mbuge ni Upendo Kilahiro. Picha na Andrew Ngai, WAPOMEDIA

Newer Posts Older Posts