LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013
JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
09/03/09
UZINDUZI WA ALBAMU WA YESU NIOKOE WASOGEZWA MBELE
Gospel Music Center 0

Mumbaji wa muziki wa Injili jiji Dar es Salaam, Heleni Njama anaye tesa na albamu ya Yesu niokoe, hivi karibuni alikwama kuizundua albamu yake baada ya mgeni rasmi kupatwa na matatizo. Uzinduzi huo utafanyika tarehe itakayotangazwa.
JOSHUA AJA NA SHALOM
Gospel Music Center 0
MUIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini Joshua Mlelwa, amekamilisha albamu yake mpya aliyoipa jina la Shalom ambayo tayari imeingia kitaani.
Akichonga na safu hii hivi karibuni, Joshua alisema kuwa, licha ya kuingia sokoni albamu hiyo, bado hajajua ni lini ataizundua licha ya watu wengi kumuomba afanye hivyo.
Albamu hiyo ina jumla ya nyimbo nane na baadhi ya hizo ni Apewe Bwana, Kwa kuwa nimwema, Uniwezeshe, Ni Wewe, Niko juu, Ubarikiwe na Shalom ambao umebeba jina la albamu.
“Uzinduzi sijafahamu ni lini nitaufanya licha ya mashabiki wangu kutaka nifanye hivyo, ila kwa sasa albamu ipo mtaani,” alisema Joshua.
WALIOTEMBELEA BLOG HII
TUMA HABARI NA MATUKIO
KAMA UNA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI POPOTE DUNIANI TUMA KWA EMAIL HII. productiongmk@gmail.com. NAMI NITAZIWEKA KWENYE BLOG HII BILA GHARAMA YOYOTE. NAKARIBISHA HABARI ZA MATAMASHA YA INJILI, MIKUTANO, RATIBA ZA MAKANISA, SEMINA, HARUSI NA MAMBO MBALIMBALI KWA AJILI YA KUWAJULISHA WANAULIMWENGU. WASILIANA NAMI KWA NAMBA ZIFUATAZO.
+255 712 001 880,
+255 755 240 136.
HABARI MUHIMU
-
Wapendwa katika Yesu Kristo leo nimefanikiwa tena kukutana na muimbaji wa muziki wa Injili nchini anayekwenda kwa jina la Upendo Nkone ambay...
-
Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Efatha Ministries anayetikisa jijini la Dar es salaam na amejikusanyi waumini wengi kiasi kwamba huduma...
-
Aliyekuwa muimbaji mahiri wa muziki wa injili nchini Fanuel Sedekia alizikwa Januari 10 mkoani Arusha baada ya kufariki dunia usikua wa kua...
-
Nivigumu kuamini lakini ukweli ni huo kwamba, mtoto mmoja wa miaka 10, Anna Msingwa aliyezaliwa akiwa kipofu ameanza kuona huku Iringa, kwa...
-
Hakuna asiyeelewa kwamba mkoa wa Mbeya ni mkoa ambao umekuwa ukitoa waimbaji mahiri wa muziki wa injili wenye tungo ambazo msikilizaji wa ny...
-
Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini Kenya , Solomon Mukubwa leo (Jumamosi) anafunga pingu za maisha na Bi. Betyy katika kanisa moja la Kir...
-
Ndoa ni nini? Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke unaokubalika kiutamaduni na kidini ambao unatarajiwa kudumu, kuwapa haki sawa za kiji...
-
Kwa wapenzi wa muziki wa injili nchini, jina la Shusho si jina geni masikioni mwao kutokana na umahiri wa kutumia kipawa cha uimbaji cha mwa...
-
Baraka akiwa na mwanaye Deliver akiwa nyumbani kwake mkoani Mbeya Deliver Baraka akiwa katika pozi safi Deliver Baraka ...
-
Baada ya kukaa kimpya kwa muda mrefu bila kutoa albam mpya na kupelekea baadhi ya wadau wa muziki wa Injili kuhoji uwepo wa Bony Mwaitege ka...
Categories
- George Kayala (23)
- George Kayala. (6)
- Kabula John George (1)

