LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

09/22/09

HUYU NDIYE MNYAMA KOBE ANAYEULIZWA SWALI NA LUKAMAJA KATIKA ALBAMU YAKE YA MNYAMA KOBE, PATA NAKALA YAKO ILI UJUE UKWELI WA MAMBO


Kombe huyu anasadikika kuwa na umri wa miaka 300, anauwezo wa kumbeba mwanadamu bila shida yoyote.


Lukamaja akimuuliza swali mnyama kombe, swali ganai hilo? Pata nakala yako sasa.


Licha ya kwamba kombe hakuwa na jibu la kumjibu Lukamaja, lakini yeye hakuchoka kuuliza pamoja na kwamba aliamua kuondoka alipokuwa amesimama.


Alifikiri Kombe alikuwa halisikii vema swali alilokuwa anaulizwa, akaamua kuinama ili kumpa jibu.


Lukamaja hakuchoka kumuuliza swali Mnyama kombe mpaka ajibu swali lake, aliendelea kumfuata kila alikoelekea.


Alipoona anaendelea kwenda kusikojulikana bila kujibu swali aliloulizwa, aliamua kumbeba ili ampe jibu lake. Je Lukamaja alipewa jibu lake? Pata nakala yako sasa inayopatikana madukani nchi nzima kwa jina la Mnyama Kobe.


Baada ya kazi nzito ya kumuuliza swali mnyama kobe, Lukamaja na mkewe waliamua kukaa mezani na kupata chakula kabla ya kuendelea na shughuli nyingine za kumtukuza Mungu.


Jamani kumwimbia Mungu kuna baraka tosha, ona watumishi hawa wanavyokula chakula kwa upendo.


Prosper Lukamaja naye hakuwa nyumba katika kuhakikisha anapata mlo safi  baada ya kazi ngumu ya kumuimbia Mungu.

LUKAMAJA NA MKEWE WAKIMSIFU MUNGU

Lukamaja na mkewe Glory wakicheza moja kati ya nyimbo zilizosheheni katika albamu ya Mnyama Kobe.
Mchungaji wa kanisa la TAG Salala jijini Dar es Salaam Chrisantus Siame na mkewe Winfrida Siame akifurahia wimbo wa Mnyama kombe wakati Lukamaja akiimba kanisani hapo.
 
Lukamaja na waimbaji wake wakiwa katika moja ya pozi la uimbaji wa baadhi ya nyimbio zinazopatikana albamu ya Mnyama kobe. Picha ya pili hapo juu, Lukamaja akiwa na mkewe Groly na katikati ni mtoto wao mpendwa Prosper wakiwa katika kuimimbia Mungu.

Uzuri wa albamu hii huwezi kuufaidi kwa kusimuliwa, pata nakala yako ili ujue ukweli wa kile ninachokisema. Hapa Lukamaja akiwa kwenye pozi linalopatikana katika albamu hiyo.


Jamani kumwimbia Mungu mme na mke kuna raha zake. Hapa ni Lukamaja na mkewe Glory wakimchezea Mungu. Ukitaka kufaidi uchezaji wao, nunua nakala yake leo.

BAADHI YA MATUKIO YANAYOONEKANA KATIKA ALBAMU YA MNYAMA KOBE

Baadhi ya waimbaji wa Mtumishi wa Mumngu Lukamaja Masunga wakiimba kwa hisia kali wimbo wa kuabudu. Picha ya pili ni mke wa Lukamaja (Glory) akiwa ni miongoni mwa waimbaji wanaomwabudu Mungu. Picha ya tatu kwenda chini ni Mama Lukamaja akimwabudu Mungu kwa njia ya uimbaji. Picha ya nne, kutoka kushoto ni Mama Lukamaja akicheza moja kati ya nyimbo zilizosheheni katika albamu ya Mnyama Kobe. Picha ya tano ni watumishi wa Mungu licha ya kuwa ni wadogo lakini wako makini na huduma ya kumwimbia Mungu wetu. Picha ya sita ni Lukamaja Masunga akimtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji. Pata nakala yako sasa ili ufaidi kilichomo ndani yake. Ni nzuri kiasi kwamba nashindwa kuelezea, inapatikana madukani nchi nzima. Picha hizi zinapatikana kwenye DVD,VVD na VSH.




Newer Posts Older Posts