LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

01/01/10

Faustin Munishi kugombea tena urais mwaka huu?




Mchungaji Faustin Munishi ambaye pia ni mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili Afrika ya mashariki na kati, kwa muda mrefu sasa amekaa kimya kuhusiana na suala la siasa za Tanzania kama alivyotikisa miaka ya 2000 baada ya kutangaza azma yake ya kugombea urais Tanzania katika uchaguzi mkuu wa 2005. Katika kufanikisha azma hiyo mchungaji huyo alitoa kanda za video katika mfumo wa VCD. Hata hivyo Serikali ilizipiga marufuku kanda hizo kwa kigezo kwamba zilikuwa na kashfa dhidi ya Rais aliyekuwa anamaliza muda wake Benjamin Mkapa wa Chama tawala ‘CCM’. Blog hii inafanya jitihasa za kumpata mtumishi huyo wa Mungu kutaka kujua kama mwaka huu atakuja kugombe nafasi hiyo. Wakati Munishi anatangaza azma yake hiyo ya kuwania nafasi ya juu ya uongozi alisema kuwa; Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha kisiasa na sitarajii kujiunga na Mtikila wala chama chochote cha kisiasa. Wala sitarajii kuunda chama cha kisiasa. Lakini nataka mimi na Watanzania wengi wasio wanachama wa vyama vya kisiasa tuwe huru kugombea uongozi katika nchi yetu bila kuzuiwa na chochote kama katiba ya CCM.

MAELFU WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA HAYATI MZEE KAWAWA


Baadhi ya watoto wa Hayati Mzee Kawawa, wakionekana na huzuni kubwa wakati wa kumuaga baba yao leo Ijumaa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

 
Kutoka kushoto ni Spika Msitaafu Pius Msekwa,Rais Msitaafu Ally Hasani Mwinyi, Jaji Mkuu Msitaafu Barnabas Samata na Spika wa Bunge Samuel Sitta wakiwa katika ukumbi wa Karimjee leo Ijumaa wakati wa kuuaga mwili wa Hayati Mzee Kawawa.


Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Omar Mahita akiwa ni miongoni mwa waliohudhuria tukio la kumuaha Hayati Mzee Kawawa.


Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dk.Omary Shein, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda na mke wa Rais Salima Kikwete wakiwa wamekaa sehemu moja wakati wa kuuaga mwili wa Hayati Mzee Kawawa.


Kushoto ni Waziri Mkuu Msitaafu Fredrick Sumaye akikaribisha kwa viwanja vya Karimjee na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvileo Ijumaa.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisaini kitabu cha wageni.

 
Kulia ni Rais Msitaafu Ally Hassani Mwinyi akisaini kitabu cha wageni katika ukumbi wa Karimjee leo  
 
Kulia ni Rais Msitaafu Ally Hassani Mwinyi akikaribishwa katika ukumbi wa Karimjee leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvu.
  
Rais Kikwete akiingia katika viwanja vya Karimjee leo Ijumaa


Kulia ni Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni  katika ukumbi wa Karimjee leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvu.
 
Kuulia ni Mke wa Hayati Baba wa Taifa, Mama Nyerere akielekezwa sehemu ya kusaini kitabu cha wageni na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvu.

Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Bw. Said Mwema akiwa na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa  katika ukumbi wa Karimjee leo Ijumaa 
  
Mwili wa Hayati Mzee Kawawa ukiingizwa katika ukumbi wa Karimjee.


Gari la jeshi la mzinga likiwa limebeba mwili wa Hayati Mzee Kawawa
 
Gari la jeshi likiingia katika ukumbi wa Karimjee likiwa limeubeba mwili wa Hayati Kawawa

Newer Posts Older Posts