LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

09/10/10

ZISIKILIZE NYIMBO HIZO MBILI KWA MAKINI, WENGI ZIMEWAHUDUMIA, ZISIKILIZE NA KUZIANGALIA KWA KUMANISHA



Yawezekana una muda mrefu ndani ya ndoa yako ukiwa huna mtoto, pengine jirani, rafiki ama ndugu zako wanakubeza kutokana na maisha magumu unayopitia. Nakuomba rudia tena kuzisikiliza nyimbo hizo kwa kumanisha hakika hautabaki kama ulivyoanza kuziangalia na kuzisikiliza. Nyimbo hizo zimefanyika msaada mkubwa kwa watu waliokuwa wamebezwa na kusimangwa kutokana na changamoto zao walizokuwa wanazipata katika maisha yao. Nakusihi uuachie moyo wako upokee ujumbe huu kwa makini. Watu wengi Jehova amewafungua vifungo vyao baada ya kuusikiliza kwa utulivu. Ukisha sikiliza mwambie na mwenzako, nakushauri ununue DVD ama VCD ili usikilize kwa utulivu nyumbani kwako ama ndani ya gari yako.Waweza kuwasiliana nasi kwa simu namba
+255 757 140 336, +255 658 140 336 ama +255 755 240 136, +255 656 215 572.

UPENDO NKONE APONGEZWA KUPATA MUME

Ikiwa umebaki mwezi mmoja kwa muimbaji wa Injili nchini Upendo Nkone  kuanza maisha mapya ya ndoa, wapenzi wa muziki wake wamempongeza kwa kuwa na uvumilivu kwa muda wa miaka 9 ya ujane tangu aondokewe na mumewe kipenzi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mtandao huu jijini Dar es Salaam hivi karibuni, wadau hao wa gospel walisema kuwa, kujitunza kwa mujimbaji huyo na kuwa na ushuhuda mzuri mbele ya jamii, ni kitu ya kupongezwa na kila mtu kwani wajane wengi hushindwa kuvumilia na kujikuta wanatumbukia katika dimbwi la uasherati kwa kificho. Mwimbaji huyo anatarajiwa kufunga pingu za maisha Oktoba 17 mwaka huu (2010) na Mchungaji John Mbeyela ambaye pia ni anadaiwa kuwa mjane mwenye watoto watatu. Habari kutoka ndani ya kamati ya maandalizi ya ndoa hiyo zinasema shughuli hiyo itafanyika  kanisa la Naioth kwa Mchungaji Mwasota jijini Dar.

Mkali huyo wa nyimbo zenye mguso wa ajabu ana jumla ya album tatu ambazo ni Mungu Baba, Hapa Nilipo na Zipo faida inayotamba kwa sasa sokoni ndani na nje ya nchi. (Picha kwa hisani ya mtandao wa kilinyepes).

KARIBU HUDUMA YA NENO LA UPATANISHO KIVULE BUSITANI YA EDEN ZAMANI MATEMBELE YA KWANZA

Picha mbali mbali zinamuonesha Kabula George akiwa katika matukio mbalimbali, moja katiki ya hizo ni George Kayala akinawishwa miguu na Mpakwa mafuta wa Mungu Askofu Nicolaus Suguye. Picha ninyinge Kabula akiwa na muimbaji wa muziki wa injili kutoka Moshi Renatha Samba.

Newer Posts Older Posts