LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

09/16/10

BONY MWAITEGE AZALIWA UPYA

Baada ya kukaa kimpya kwa muda mrefu bila kutoa albam mpya na kupelekea baadhi ya wadau wa muziki wa Injili kuhoji uwepo wa Bony Mwaitege katika huduma hiyo ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji, hatatimaye mwanamuziki huyo amewajibu waliofikiri amepotea baada ya kuibuka na albam mpya inayokwenda kwa jina la Mama. Albam hiyo kwa sasa imefanikiwa kuwateka watu wengi kutokana na vibao vyake kama Mama, na Njoo ufanyiwe maombi, Tega sikio, Inua macho, Omba msamaha, Maisha ni foleni, Ndio Bwana na Ni kwa neema.

JANE MISSO KUZINDUA ALBAM YA UINULIWE


Mkali wa muziki wa Injili nchini Jane Miso anatarajia kuzindua albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Uinuliwa Bwana ambayo imekuwa kitamba katika vyombo mbalimbali vya habari. Uzinduzi huo unatarajia kufanyika Septemba 19 ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee na atasindikizwa na wakali wenzake kama Christina Shusho, Steve Wambura, Joseph Nyuki, Upendo Nkone na wengine wengi. Uzinduzi wa albamu hiyo unakuja baada ya muimbaji huyo kutamba na album yake ya OMOYO aliyoimba kwa lugha ya kisukuma. Ndani ya albam hiyo kuna kibao kinachokwenda kwa jina la MOTEMA yenye mahadhi ya Lingala ikiwa ni tafasiri ya wimbo wa Omoyo. Albam hiyo itakuwa katika mfumo wa CD na Video.

 

Newer Posts Older Posts