LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

03/11/11

PASTOR MWASANGUTI

Pastor Kumbuka Mwasanguti mkazi wa Mbeya kwa sasa anasoma nchini Marekani. Aliyebeba ni mwanaye, picha ya chini ni mkewe. Kuhusu huduma yake na mambo mengine endelea kufuatilia mtandao huu.

ONE STAR RECORDS


Habari njema kwa waimbaji wote wa muziki wa Injili studio mpya imefunguliwa Ubungo Kibangu ipo nyuma ya Mabibo Hostel, studio hiyo inaitwa ONE STAR RECORDS inajishughulisha na kurekodi nyimbo za Injili na nyinginezo. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0752-501350,0712-328632. Email aloycesmwl@yahoo.com. Nyote mnakaribishwa.

HONGERA SANA MODESTE M. MAMO


Hongera sana Modeste M. Mamo, kutoka hapo Australia kwa kuitembelea blgo hii na kufurahishwa na ulivyovisoma humu. Kama utaweza naomba unitumie picha yako ili niirushe kwenye blog hii. Tuma kwa barua pepe hii, georgeekayala@yahoo.com . Karibu tena  siku nyingine na Mungu wangu akubariki. Waambie na rafiki zako wa hapo Australi. Pia nitafurahi kama utakuwa unanipa habari za kidini za huko.

Newer Posts Older Posts