LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KATIBU MWENEZI WA WACHAWI KANDA YA ZIWA AJISALIMISHA KANISANI

Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko amejisalimisha kanisani na kuvichoma moto vitendea kazi vyake vya kichawi ndani ya Huduma ya The Word of Reconcialition Ministries (WRM) iliyopo Matembele ya Pili Kivule jijini Dar es Salaam. Hapa anapeleka vitendea kazi mbele ya madhabahu.
Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko akionesha kifurushi cha kitendea kazi ndani ya WRM
Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko akifungua kifurushi cha vitendea kazi zake za kichawi.

Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko akionesha kiti, mkuki na shuka alizokuwa anafanyia kazi za kichawi.

Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko akifungua mkuki na kutoa maelezo ya matumizi aliyokuwa anafanya nayo.

Katibu Mmwenezi wa wachawi Kanda ya Ziwa Omary Manoko akionesha shuka alilompa mambo ua uchawi mmoja wa wateja wake huko Sengerema mkoani Mwanza.
Mmoja wa watenda kazi wa huduma hiyo Peter akivichoma moto vitu hivyo.

Vitendea kazi vimechomwa moto


Newer Post Older Post