JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
DK MARY MWANJELWA KUIZINDUA NITANG’ARA TU
Wednesday, June 19, 2013
Gospel Music Center
George Kayala
.jpg) |
Dk Mary Mwanjelwa |
Mbunge wa Viti Maalumu
Mkoa wa Mbeya, Dk Mary Mwanjelwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi
wa albamu ya tatu ya Nitang’ara Tu ya Mwinjilisti Kabula George ikiwa katika
mfumo wa DVD.
Uzinduzi huo unatarajiwa
kufanyika katika kanisa la Moravian Airport Usharika wa Yerusalem mkoani Mbeua
Julai 21, mwaka huu kuanzia saa 7:00 mchana.
Shughuli hiyo itanogeshwa
na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Ambele Chapanyota.
Post a Comment