LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

Bony Mwaitege kaishiwa mashairi?


Ukimya wa muimbaji wa muziki wa Injili nchini aliyefanikiwa kuiteka Afrika Mashariki, Bony Mwaitege na wimbo wake wa ‘Utanitambaje kama nimeokoka’ umeibua maswali mengi huku wengine wakisema kuwa ameishiwa mashairi ya kulihubiri Neno la Mungu kwa njia ya uimbaji.
Wakati wengine wakisema Bony kaishiwa maishairi, baadhi yao wanasema kuwa, ukimya wa muimbaji huo unatokana na ukweli kuwa, bado anatafakari kama anaweza kutoa albamu itakayoipiku ile ya kwanza ambayo ndiyo ilimpa jina katika medani ya muziki wa injili.
Hata hivyo taarifa kutoka kwa jamaa zake wa karibu na muimbaji huyo anayemwabudu Mungu wake katika kanisa la Mito ya Baraka jijini Dar es Salaam zilisema kuwa tangu mwaka jana, Bony amekuwa akiiandaa albamu yake ya pili ambayo binafsi ameona ubara wake haulingani na ya kwanza.

Newer Post Older Post