LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

JINSI YA KUSIMAMIA MANENO YA UNABII ULIYOPEWA

Kumbuka Mungu hawezi kufanya neno lolote bila kukujulisha. Wakati mwingine Mungu hutumia manabii wake ili kutimiza neno lake kwako kikubwa hapa wewe unatakiwa kutii. Jitahidi kusimamia maneno ya unabii wa watumishi wa Mungu.

Amosi 3:7. Hakika bwana Mungu hatafanya neno lolote bila kuwafunulia watumishi wake manabii juu ya siri yake


1Timoteo 1:18-20. Hapa tunaona Timotheo anakumbushwa kuyakumbuka maneno aliyotamkiwa na manabii.
1. Vipinge vita vizuri. Mfano maneno ulitamkiwa na manabii kuwa utakuwa tajiri, utakuwa na mafanikio nk. Tambua kuwa shetani atakuwa amesikia maneno hayo hivyo anaanza kufanya afanyalo ili akuangushe katika kile kulichotamkwa na nabii wa Mungu. Unachotakiwa kufanya unapotamkiwa maneno na manabii simama katika maneno hayo na kushindana na shetani. 1Timo 6:10. Hapa inasema ‘Piga vita vile …..’. Mara nyingi watu wamekuwa wepesi kukiri mafanikio wawapo sehemu za ibada lakini wakitoka hapo masha yanawaigia. Kama umetabiriwa ndoa yako iliyokuwa na mafarakano kiri ushindi na ukiingia kitandani sema, ewe shetani sikia kitanda hiki kimetakaswa na Mungu maagano yote ya kishetani yahame ndani ya ndoa yetu na kitanda takasika kwa damu ya Yesu. Watu wengi wanafeli juu ya maisha yao kwa sababu ya hofu kwa sababu hawaungami maungamo mazuri. Kiri kufanikiwa kila wakati na kiri vizuri unabii uliousikia haijalishi unamaisha gani wewe kiri ushindi wa Bwana na usikubali kuzidiwa na maneno ya watu wanaokuzunguka. Watu wengi wamekuwa wepesi wa kuingiza mashaka ndani ya mioyo yao wanapotoka katika maombi ndiyo maana hawafaniki. Biblia inasema omba bila mashaka. Watu wengi wanateswa na maneno ya waliojitamkia wenyewe. Biblia inasema kuwa Mauti Na Uzima Viko Kinywani Mwa Mtu. Usikiri udhaifu katika maisha yako. Kumbuka vipige vita vizuri utaona ushindi mkubwa katika maisha yako. Efeso 6:10, muwe hodari kuzipinga hila za ibilisi. Kuna majeshi katika ulimwengu wa roho yanashindana na sisi ili tusifanikiwe katika maisha yetu.
2. Uwe mwenye Imani Njema. 1Timotheo 1:19 anaelezwa awe na imani njema. Maana yake awe na uhakika na kile alichoambiwa. Kama unaumwa ona uponyaji na si kushindwa. Kama ni majaribu ona kufanikiwa na si kufeli. Imani ni kuwa na bayana ya mambo yasiyoonekana …. Mara nyingi mwenye imani huonekana kama kichaa mbele za watu. Imani inatakiwa kuona mema ambayo Mungu amekuahidia. Ebrania 11:8-12. Kwa imani Ibrahimu….. Ibrahimu baada ya kuitwa na Mungu alitii sauti kwa kuamini kuwa Mungu atamfikisha aendako na atampa baraka zake.
3. Uwe mwenye dhamili Njema. 1Timotheo 3:9, 6:10. Ukifanikiwa utumie vema utajiri pesa. Usiipende pesa kwani utakosana pesa ila uitake pesa. Ukiipenda pesa utaipa nafasi ya kwanza kuliko pesa. Hapa utafanya madadu ili upate pesa, utasaliti ndoa ili upate pesa. Bibli inasema kupenda pesa ni shina la mabaya…… Ukiitaka pesa utafanya kila jambo kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watu wenye shida. Utakuwa mwepesi wa kutoa msaada katika kila wanachohitaji. Baadhi ya watumishi wa Mungu leo hii wamependa pesa mpaka wanafanya maombi mpaka apate pesa. Bila pesa maombi hakuna. Matendo 23:1 “Paulo aliwakazia macho…, ukianza kuona unafanya jambo moyoni mwako unaona kuhukumiwa juwa ufanyalo si mapenzi ya Mungu. Matendo 24:16, jitahidi dhamini yako isiwe na hatima mbele za Mungu na wanadamu. Watu wengi wamekuwa na maneno ya kujifariji kuwa wanafanya uovu mbele za watu na kusema eti ‘ Mungu anaangalia moyo’ utakuta mtu kava vibaya na kuwa kwanzo kwa mtu. 1Petro 3:16 ‘Nanyi muwe na dhamili njema……’ .

IBADA YENYE ISHARA NA MIUJIZA ILIYOKUWA INAONGOZWA NA NABII NICOLAUS SUGUYE WA HUDUMA YA WRM IMEMALIZIKA.
 4. Usiiache Imani wala kumtukana Mungu. Wapo watu ambao wakiomba wanaona kama Mungu hajibu majibu yao na kuanga kunung’unika kwa kusema yupo wapi Bwana ambaye ametuacha kiasi hiki. Kuna wengine wanasema kama maisha ndiyo hayo ni bora kumuacha Mungu. Kufanya hivyo huko ni kumtukana Bwana.


Newer Post Older Post