JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
KONGAMANO LA VIJANA LAFANYIKA TANGA
Thursday, August 9, 2012
Gospel Music Center
|
Mchungaji Jackson kutoka Moshi |
|
Aliyeshika mfuko wa sadaka ni Kelvin Mwimbaji kutoka Dar es Salaam |
|
Watumishi wa Mungu wakimtukuza Jehova jukwaani |
|
Aliyevaa suti nyeupe ni nabii Jonathan kutoka Kongo |
|
Vijana hawa wakimtukuza Mungu
|
Kongamano la vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini limefanyika mkoa wa Tanga hivi karibuni na kuaacha shuhuda kubwa za kumtukuza Mungu. Kongamano hilo lililoandaliwa na Gospel Teaching Ministy For Youth (GTMY) lilifanyika katika Viwanja vya tangamano mkoani humo.
GTMY ni huduma ya Kikristo ya kujitolea ambayo hufanya kazi ya Mungu isiyofungamana na Kanisa au Dhehebu lolote. Huduma hii imeanzishwa na watumishi wa MUNGU , Goodluky T. Mlaki na Jackson J. Mndeme kwa lengo la kuwafundisha vijana neno la MUNGU kuanzia kijana mmoja mmoja hadi mwingine, vijana wa taifa moja hadi jingine.
Post a Comment