JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
MAOMBI AMBAYO NI VIZUIZI VYA MAOMBI
Sunday, August 12, 2012
Gospel Music Center
Nabii Nicolaus Suguye yupo katika madhabahu muda huu akifundisha juu ya vizuizi vya maombi katika maisha ya wanadamu. Nabii amesema watu wengi hawafuati sheria ya Mungu ndiyo maana wanashindwa kujibiwa maombi yao na shetani kuwatumia anavyotaka. Zaidi soma maandiko haya. Mithali 28:9, 1:24-28 .
Kumbu 1:43-45. Watu wengi hawafuati kanuni za Mungu. 1Samweli 15:10- 23 hapa Samweli naye hakufuata kanuni ya Mungu. Sauli alikataliwa kwa sababu aliasi maagizo ya Bwana. Endelea kufuatilia nitakuletea vizuizi hivyo anavyoendelea kufundisha.
Post a Comment