NABII SUGUYE AFUNDISHA VIZUIZI VYA MAOMBI KWA WANADAMU
Nabii Nicolaus Suguye wa Huduma ya Neno la Upatanisho yupo madhabahuni akihubiri sasa.
1.Kutozishika sheria za Bwana.Mithali 28:9, 1:24-28
Kumbu 1:43-45, Mithali 28:9, 1:24-28
Kumbu 1:43-45. Watu wengi hawafuati kanuni za Mungu. 1Samweli 15:10- 23 hapa Samweli naye hakufuata kanuni ya Mungu. Sauli alikataliwa kwa sababu aliasi maagizo ya Bwana.
2.Kuishi katika dhambi.
Mungu hawasikii wenye dhambi. Watu wengi wanaomba lakini ndani ya mioyo yao wanasongwa na dhambi,kwa hali hiyo mtu Yohana 9:31, Isaya 59:1-3. Yohana 5:14-15
3.Kutokujali kilio cha masikini.
Suala la kutowasaidia watu wasiojiweza ni chukizo kwa Bwana Mungu na nikikwazo cha kukwamimsha maombi yako hataka kama umejaa maneno ya kukalili Mithali 21:23
4.Kutokuamini.
Kutokuamini nacho ni kikwazo wa watu wengi.Yakobo 1:5-7
5.Kuomba kwa tamaa. Yakobo 4:3.
ENDELEA KUFUATILIA BADO IBADA INAENDELEA
Post a Comment