LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

NABII SUGUYE AWAONGOZA SALA YA TOBA WAUMINI WALIOFIKA LEO KATIKA HUDUMA YA WRMNABII SUGUYE AWAONGOZA SALA YA TOBA WAUMINI WALIOFIKA LEO KATIKA HUDUMA YA WRM

Nabii Nicolaus Suguye wa Huduma ya Neno la Upatanisho amemaliza kufundisha somo la jinsi ma watu kutojibiwa maombi yao na sasa anawaongoza sala ya toba waumini waliofika katika huduma hiyo Jumapili ya leo.Nawe popote ulipo omba toba ili Mungu akusamehe makosa yako mara baada ya kusoma somo hili na Mungu atakuonekania kwa viwango vya juu.
1.Kutozishika sheria za Bwana.Mithali 28:9, 1:24-28
Kumbu 1:43-45, Mithali 28:9, 1:24-28

Kumbu 1:43-45. Watu wengi hawafuati kanuni za Mungu. 1Samweli 15:10- 23 hapa Samweli naye hakufuata kanuni ya Mungu. Sauli alikataliwa kwa sababu aliasi maagizo ya Bwana.



2.Kuishi katika dhambi.

Mungu hawasikii wenye dhambi. Watu wengi wanaomba lakini ndani ya mioyo yao wanasongwa na dhambi,kwa hali hiyo mtu Yohana 9:31, Isaya 59:1-3. Yohana 5:14-15



3.Kutokujali kilio cha masikini.

Suala la kutowasaidia watu wasiojiweza ni chukizo kwa Bwana Mungu na nikikwazo cha kukwamimsha maombi yako hataka kama umejaa maneno ya kukalili

Mithali 21:23

4.Kutokuamini.

Kutokuamini nacho ni kikwazo wa watu wengi.Yakobo 1:5-7

5.Kuomba kwa tamaa. Yakobo 4:3.

6.Kutokusamehe. Dhambi hii inawatesa watu wengi ndiyo maana wanashindwa kusamehe hata kidogo. Baadhi ya watu husamehe na kusema hawawezi kusahau lakini maandiko yanasema anayesamehe hawezi kukumbuka dhambi hiyo.Marko 1124-25. Efeso 4:32 neno la Mungu lina sema tena iweni...

7.Ukorofi katika ndoa.

Mnapokuwa na magomvi ndani ya ndoa msitegemee kufanikiwa katika maisha yenu. 1Perto 3:7 ugomvi katika ndoa inaweza kuzuia baraka zenu kwani magomvi yanafunga baraka katika ndoa. Maombi mengi yanazuiliwa kwa sababu ya magomvi hayo. Mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe kabla mwingine.



Newer Post Older Post