JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
SARA MVUNGI AMKAMATA ANAYEHUJUMU KAZI ZAKE
Thursday, August 9, 2012
Gospel Music Center
Harakati za kupambana na maharamia wa kazi wa wasanii nchini zinaendelea na hivi karibuni mwimbaji wa nyimbo za Injili, Sara Mvungi kumkamata jamaa mmoja aliyekuwa akiiuza CD zake feki maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na TGM leo asubuhi, Sara alisema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na jeshi la polisi kituo cha Magomeni na atafikishwa mahakamani baada ya upelelezi wa wapi anakozalishia CD hizo kukamilika.
Sara alisema, inahitajika nguvu ya pamoja kupambana na majangiri hawa ambao wananufaika kwa jasho ambalo si lao na kuwaacha wahusika kuishi maisha ya umasikini kutokana na kazi zao kutozunguka vema sokoni.
Post a Comment