LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

BISHOP JOHN BIGIRIMANA

Ujumbe huu ni mhimu kwako kutoka kwa Bishop Bigirimana.
Ndoto zina aina nyingi sana:Katika ulimwengu wa mawazo hutoka ndoto. Katika ulimengu wa vita hutoka ndoto za vitisho. katika Ulimwengu wa furaha hutoka ndoto za furaha kadhalika.
Ila,pia kuna ndoto za kiroho na zamaisha yajayo yaani kuanzia saa moja inayokuja,ambazo huwa ni bayana kabisa,Yaani Binadamu anaweza kupelekwa na Roho wa Mungu kutatembelea maisha yajayo yaani ya baadae nakuyaona kabisa,kwa mfano:Kuona nyumba yako mwenyewe utakayo ishi baada ya mda furani.Kuona ndoa yako au harusi yako,kuona watoto wako utakao wazaa,kuona office yako utakamo fanya kazi.Kuona nchi utakazotembele,kama Diplomate au Mhubiri.Kuona mchumba wako.Hatakuona mwisho wa maisha yako hapa Ulimwenguni. Si vyema na sibusara kabisa kudhalau ndoto zako au kukulupuka kuzisema ndoto zako kwa kila mtu,kwani wengi watazitumia ndoto zako kukutia hofu na wengine kukupa tafsiri ambazo sizo kabisa.Omba Mungu akupe mtu aliyejaa Roho wa Mungu akupe tafsiri au wewe mweneye Mungu aweza kukutafisiria ndoto yako.Ukiangalia katika Biblia,Manabii wengi na watu wakuu wote,Mungu alisema nao kwa njia ya ndoto na ufunuo.Kama vile Joseph:Mwanzo 37.Daniel: Daniel 8.1-27.Daniel 9.20-27.Job 33:14-17,na wengine wengi hata wakina Isaya.Nilianza kuona nikienda kuhubili Dunia nzima nikiwa bado nina miaka 16 huku nikiwa sijajua jinala doller,na leo ndoyo hiyo imekuwa kweli


Newer Post Older Post