KWA NINI WAPENDWA WENGI HAWAFANIKIWI KATIKA MAISHA YAO?
Kila Jumapili wapendwa wengi hufika makanisani kwa ajili ya kumwabudu Mungu wao. Na wengi huingia kanisani wakiwa na matumani ya kutatuliwa matatizo yao na Mungu.
Swali, kwa nini wapendwa wengi huwa hawafanikiwi katika maisha yao licha ya kufundishwa kila aina ya mbinu za kupambana na umasikini?
Jibu ni kwamba, wapendwa wengi huyatafakari matatizo yanayowazunguka usiku na mchana ndiyo maana hujikuta wakishindwa kupiga hatua yoyote lakini wanaofanikiwa kuyafanyia kazi waliyofundishwa hufanikiwa.
Kitabu cha Joshua kinakazia juu ya suala hili. Joshua 1:9 “…yatafakarini maneno haya usiku na mchana… ndipo utakapofanikisha njia yako na kustawi sana.”
Je, wewe unasemaji juu ya hili?
By George Kayala
a
Post a Comment