ESTHER TINDOSI ANATESA NA ALBAMU YA FARAJA YA YATIMA NA WAJANE
Muimbaji wa muziki wa injili mkoani Mwanza Esther Tindosi anatamba na albamu yake mpya aliyoipa jina la Faraja kwa Yatima na Wajane ikiwa na vibao vinane. Baadhi ya vibao hivyo ni Faraja kwa yatima na wajane, Nagalolela ulioimbwa kwa lugha ya kisukuma, Kemea, Ole wao, Akina mama, Dhambi, Nimechoka na nyinginezo.
Post a Comment