LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

Nabii Josephat Mwingira wa Efatha Ministries

Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Efatha Ministries anayetikisa jijini la Dar es salaam na amejikusanyi waumini wengi kiasi kwamba huduma hiyo imepanua kwa muda mfupi.(Picha kwa hisani ya sayuni.blogspot)

Newer Post Older Post

12 Responses to “Nabii Josephat Mwingira wa Efatha Ministries”

Anonymous said...

mimi naitwa Eliza Mapunda nauguliwa na mama yangu amepooaza sehemu au upande wa kulia wa mwili wote naomba umuombee apone katika jina la yesu kristo.

mtumishi said...

Mungu anamtumia kwa jinsi ya ajabu sana...ni vizuri watanzania tukawapa support saa nyingine kufanya kazi pamoja na hao waliotumwa na Mungu ili tuondoke ktk laana tumezoea kuwasema vibaya wakati huo hali inapokuwa ngumu tunakimbilia kwao kuombewa..tubadirike tuwaombee Mungu azidi kuwatumia hasa kwa wale wanaosafiri kuzunguka mikoani ambako ndg zetu wako...Mungu akubariki Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira..Nakupenda sana.....Mimi mwanao Adam

jeska said...

sisi wanao JESKA na DENIS KAGANZI tunakupenda sana

Anonymous said...

Naipenda ephat sana,naipenda trinity Tv, mungu awabariki sana. Naomba maombi yenu yanifungue kutoka katika kifungo cha dini. Kwa kupitia mume wangu, siruhusiwi kabisa kuja hapo kanisani. Naomba maombi yenu. Naamini siku moja ataachana na dini
na atajua neno nalo litamweka huru amina.

Anonymous said...

kitu chochote kilichoanzishwa na mungu huushinda ulimwengu,huduma yake ni ya mungu thats why inakua kwa kasi na haichuji watu wengi wanapokea uponyaji wa ukweli,wanaishia kubaki hapohapo waendelee kuona baraka,good job,servant mwingira.naitwa salome nathan.

Espagrain said...

Tuna kila sababu ya kuwaombea watumishi wa Mungu hasa Mtume na Nabii Josepahat Elias Mwingira kwa kazi kubwa anayoifanya maana watu wa Mungu wanateseka kwa matatizo mbalimbali lakini kwa huduma ya Efatha wanapona na kufunguliwa.Mungu akubariki na akutie nguvu Mtume Josephat Mwingira katika huduma hii.
Espagrain Bakuna

hope said...

shalom: NABII WA MUNG; E.J. MWINGILA
napenda kuwaeleza wenzangu na watanzania wote kuwa kwakweli mtumishi Nabii E.J. MWINGILA ndie aliye tumwa na mungu kwani kuna vitu mpaka huwezi kuvielezea kwani kuponywa wangonjwa na hata program zake alizo nazo si jawahi ziona tangu nimeanza kusali katka kanisa hili mungu akupe kujua mengi zaidi kuhusu ufunuo zaidi uweze kututoa na kutuefatha watanzania na kujua kusudi la NABII E.J.MWINGILA alilo pewa kwaajili yetu. ...mwenzangu mimi nakfurahia na kila unapo simama napokea ipo siku watanzania watajua umebeba kusudi kubwa sana kwaanili yetu....

mwah!!!!!!!!!!!!!!!!!

hope said...

shalom: NABII WA MUNG; E.J. MWINGILA
napenda kuwaeleza wenzangu na watanzania wote kuwa kwakweli mtumishi Nabii E.J. MWINGILA ndie aliye tumwa na mungu kwani kuna vitu mpaka huwezi kuvielezea kwani kuponywa wangonjwa na hata program zake alizo nazo si jawahi ziona tangu nimeanza kusali katka kanisa hili mungu akupe kujua mengi zaidi kuhusu ufunuo zaidi uweze kututoa na kutuefatha watanzania na kujua kusudi la NABII E.J.MWINGILA alilo pewa kwaajili yetu. ...mwenzangu mimi nakfurahia na kila unapo simama napokea ipo siku watanzania watajua umebeba kusudi kubwa sana kwaaj
ili yetu....

mwah!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Shaloom Mtumishi wa Mungu, Mungu akutie nguvu kwa ajili ya USIKU WA EFATHA tunatamani kuona akikutumia tena kama mwaka jana na hata zaidi ya hapo.Efatha tunakupenda sana......its me your daughter Jesca K.

Anonymous said...

dutworga gbyclMimi ni mama wa watoto wawili Bwana yesu apewe sifa. Mtumishi wa mungu naomba muniombee sana kwni ninafungwa katika dini, kupitia mume wangu. Naipenda efhata, naipenda trinity. Imani yangu siku moja atafunguka kwa maombi yenu tu si kwa dini yake. Siruhusiwi kabisa kuja hapo. ninaomba kupitia tv tu. Mungu awabariki sana na kuwapa nguvu zaidi ya kuukomboa ulimwengu na Tanzania .asante