LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

SOLOMONI MUKUBWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA LEO


Mwimbaji  wa muziki wa Injili nchini Kenya, Solomon Mukubwa leo (Jumamosi) anafunga pingu za maisha na Bi. Betyy katika kanisa moja la Kiroho maarufu nchini humo.
Habari kutoka nchini Kenya zimedai kuwa, harusi ya mtumishi huyo wa Mungu inatatarajia kukusasa watu wengi kutokana umarufu alionao kwa sasa muimbaji huyo ndani na nje. TGM inamtakiwa baraka njema Solomon na tunamkaribia pia katika ulimwengu wa ndoa wenye raha za kila namna. Harusi hiyo inatarajiwa pia kuhudhuriwa na waimbaji mbalimbali wa muzuki huo kutoka ndani na nje nchi ya Kenya. Solomoni anatesa na albamu yake ya Mfalme wa Amani. (Picha kwa hisani ya blogo ya Jiachie) Pichani Solomon Akiwa na mkali wa muziki huo hapa nchini Rose Muhando.

Newer Post Older Post

One Response to “SOLOMONI MUKUBWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA LEO”

Maggy said...

Kaka Solomoni Mungu akubariki sana na nakutakia kila la heri, Amani na furaha katika Maisha mapya ya ndoa unayoyaanza leo.