SAIKOLOJIA NA MAISHA
Maisha kwa ujumla ni magumu lakini huwa magumu zaidi kwa watu ambao hawana elimu, kwani hata Biblia inasema WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. Kitabu hiki cha Saikolojia ni zawadi yako kutoka kwa Mwanasaikolojia mahiri nchini Tanzania Richard Manyota ambaye amekuwa msaada kwa watu wengi. Ndani ya kitabu hiki kuna mafundisho mengi muhimu yanayohusua matatizo na ufumbuzi wake, njia ya kutafuta na kupata furaha, mbinu 100 za kusoma na kufaulu mitihani, hofu ya kifo na namna ya kuikabili na jinsi ya kutatua migogoro katika jamii. Jipatitie nakala yako kwa wauza magazeti nchi nzima kwa shilingi 3000, au wasiliana na mwandishi wa kitabu hiki kwa Email richmanyota@yahoo.com au kwa simu namba +255714895555.
Post a Comment