LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY TANZANIA


Ps FOCUS YOHAN KOMBA
CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY TANZANIA
P o Box 15412
 Dar Es Salaam
 Tanzania,
255784575295 NA +255715727235

TAARIFA NA MAELEZO YA CHUO-CLU-TANZANIA

Utangulizi

Chuo Kikuu  chenye makao yake makuu Mjini-New York-Marekani kimeanzisha mpango kabambe wa kuwawezesha wakristo na watu wengine wote, wanaotaka kujiendeleza kielimu hapa nchini kapata Elimu ya Chuo Kikuu, kwa ngazi ya Shahada, bila ghalama kubwa. Kwa kuona umuhimu wa mpango huu na jinsi ulivyo wainua wengi katika mataifa mengi duniani, Mkuu wa Chuo hicho Dr Mark Vickler, Mch Focus Komba walijipanga ili kuanzisha mitaala ya kuwawezesha watanzania kupata diploma na shahada ya kwanza hapa nchini katika masomo ya aina mbali mbali kwa galama nafuu sana. Chuo hiki kinatambuliwa katika mataifa mengi na kimefanya juhudi kubwa kuelimisha jamii ya aina zote kwa ghalam nafuu, kwa kufuata utaratibu wa (Lamad Educational style,) ambao unatumika duniani kote katika kujenga uwezo wa msomaji na kuwa na ufahamu mzuri wa uelewa ambao unaweza kumsaidia mwanafunzi kuendelea. Ambao hata Baraza la Mtihani limeanza kuufuata, ili kumjengea uwezo wanafunzi badara ya kukariri somo kwa ajili ya kupata cheti.  Endapo mwanafunzi atajiunga na masomo haya toka NEWYORK itamghalimu mamilioni ya fedha, lakini itamghalimu pesa kidogo sana. Mwanafunzi atakae soma kutoka katika tawi lake la Tanzania atapata punguzo kubwa Sana

Jinsi ya kujiunga 

Ili kupata nafasi ya masomo ya Shahada ya kwanza, mwanafunzi anatakiwa kujaza fomu ya maombi na kuhudhuria semina ya siku mbili ambayo itafanyika katika Kanisa la KLPT-Tegeta siku ya Jumamosi Tarehe 3/10/2009 na Tarehe 10/10/2009, na baadaye, katika Madarasa yetu. Inawapasa wanafu-nzi watakaohudhuria watoe taarifa ya kuhudhuria kwao mapema.

Jinsi ya kusoma 

Kila mtu anaweza kusoma masomo haya kwa urahisi sana. Kwa vile masomo haya yanapatika kwa lugha rahisi ya Kiingereza ambayo ni moja ya masomo yatakayo fundishwa, bure kwa waliolipia na wanafunzi watasaidiwa kujenga uwezo wa kujibu maswali ya msingi wakiwa darasani. Masomo yatafanyika mala NANE Kwa mwezi yaani kila siku ya Alhamisi/Jumamosi, au siku ambayo wanafunzi watajipangia kuwa wana-nafasi. Lengo la kukutana ni kujulishwa kipindi cha muhura (semester) ujao, na masomo yaliyomo na kupewa maelekezo muhimu ya jinsi ya kusoma na kupatiwa, aina ya vitabu, vitini na makablasha ya somo husika. Baadaye, wanafunzi watapewa muda wa kuji-somea wenyewe kwa kipindi cha siku tano na kukutana na mwalimu kwa ajili ya kufundishwa zaidi na kupewa mtihani wa wiki. Katika kuendelea na masomo haya kitu cha msingi kitakacho angaliwa ni uelewa na sio kukariri somo sana. Kwa kipindi chote utaratibu wa maswali manne ya msingi kitafuatwa, ili kudhibitisha uelewa. Maswali ya kwanza ya muhimu ambayo mtahiniwa au mwanafunzi ataulizwa ni?

1. What I have learned from this week subjects in the book (academic knowledge)?

       Amejifunza nini kutoka katika kitabu husika? Ufahamu wa Kielimu 
2. What God has spoken to me through the course in this week study (Spiritual knowledge?
       Kitu gani Mungu amesema nae kupitia kozi hiyo?Ufahamu wa Kiroho 
3. How God has asked me to change soul, mind, emotion, body and spirit?
      Na jinsi gani Mungu amewaelekeza wabadirike kupitia kozi?
4.  Does such a change have brought different in your life style?
        Je Mabadiliko yameleta tofauti katika maisha yao?
5. What will society (family, nations) are or will be benefited from your reading of this week subject?
Jamii inayokuzunguka itafaidikaje na masomo haya hapo baadaye?  

Swali la pili halitawahusu wanafunzi wa Masomo ya Kawaida, kwa mfano, Jaurnalism, Banking, Accountancy, Law, Bussines Administartion na Economics. Baada ya kujibu maswali haya mafupi kwa ufupi kabisa mtahiniwa, ataacha majibu ya masomo yake kwa mwalimu yasahihishwe na atapatiwa majibu kama umefanya vyema (amefaaulu) au arudie. Kwa kufanya hivyo itadhibitika kuwa mwanafunzi anajisomea mwenyewe au anapata msaada kwa wengine. Si vibaya kupata msaada bali ni vizuri kuutumia msaada vizuri kwa kujibu maswali mwenyewe. Kwa vile mtahiniwa atafanya mtihani wa mwisho mwenyewe. Mtihani  unaweza ukamshinda endapo atategemea sana kufanyiwa na wengine. Mwanafunzi anaporudia analipia ghalama kidogo ya kurudia somo, ambayo kwa sasa ni shilingi 6500 tu. Akirudai zaidi ya vikao vine 4, atatakiwa atoe maelezo yanayomfanya afikie kiwango cha chini, vinginevyo atatakiwa kuanza upya. Waalimu watakuwa karibu sana na wanafunzi wakati wote. Kwa vile masomo haya yanatolewa kwa Kiingereza tu, ni vyema mwanafunzi awe na uwezo mkubwa wa lugha ya Kiingereza, Literature, Nature and use of Language, Syntax, Semantics, Leixs, Phonology, Leixs. Na katika Kiswahili, Ufahamu, Uandishi, Sarufi, Fasihi ya Lugha kwa ujumla, Fasihi Andishi na Uhakiki wa Lugha.  Kwa sasa juhudi kubwa zinafanywa ili wote waweze kujua Lugha hii ya English kwa kina. Ni lazima  waa-limu waelekezaji watapitia kwa makini na kukamilisha kila somo la kila kozi lililotolewa. Tunaamini mlengwa ataweza kujua lugha hii ya Kiingereza kwa urahisi na kwa kipindi kifupi sana endapo amejipanga. Hata hivyo, mwanafunzi atatakiwa kuandaa karatasi zenye kurasa kumi (10 pages) Kwa kila kitabu husika alichokisoma. Kwa masomo yanayo-patikana kutoka Chuoni atatakiwa asome na ajibu maswali yaliyopo mwisho wa kablasha alilopewa na mwalimu. Mwanafunzi atazingatia na kuhakikisha kuwa anafuata mtiririko wa maswali, wakati anajibu maswali wakati wote.
Njia rahisi ya Jinsi ya Kusoma- Lamad educational style

Njia na  mtindo wa kuelimika kwa utaratibu wa  Lamad educational style, sasa unatumika duniani kote ili kupunguza ghalama ya kukaa darasani muda mrefu.Kuwa darasani kwa miaka mingi kuna punguza uwezo wa jamii kifedha na kiuchumi, nguvu kazi na muda wa kuiangalia familia na mali zako. Hivi ni faida kupata shahada ya kwanza kupitia Lamad educational style, na baadaye kuchukua M.sc, kwa kuwa darasani. Wakati wa  darasa waalimu wataelekeza taratibu ya kusoma kila kitabu kilichoelekezwa kwa kila kozi, na tafakari yake kwa somo husika. Baada ya kujibu vyema utapatiwa hati inayo tambulika kimataifa na katika vyuo vyote, duniani, inayoitwa, University transcrips ambayo itaonesha points na grade zote ulizopata katika masomo yako. Jopo la waalimu la hapa nchini wakisimamiwa na Dr Mark, na Mwakilishi hapa nchini, wataidhinisha University Transcript Yako na kukupatia. Itakupasa uwe nazo nyingi kwa vile unahitaji kuwa na points 180, na grade 60 ndipo upate nafasi ya kuingia katika chumba cha mtihani wa kumaliza masomo yako.  Aidha, utakuwa na kitabu kinachoonyesha masomo yako yote uliyoisha yasoma.

Ghalama za masomo haya Ni kiasi gani?

 Masomo haya yatakughalimu kiasi kidogo kutegemea na hali ya soko la vitabu na hali ya maisha ya hapa nchini. Kwa sasa shahada ya kwanza, kwa mwaka, ADA ni sha 410,000/=. Ghalama nyingine za kitambulisho, maafali, cheti, usajili, na stati-onary zitalipwa mala tu, utakapoanza na si lazima ulipe zote. Kwa jumla ni shilingi 97,000. Ni ghalama kubwa sana kusoma masomo haya peke yako toka marekani, itakughalimu shilingi million 18, kwa miaka mitatu au minne. Kwa kusoma hapa nchini  utaweza.  Kiasi hiki cha  pesa unaweza kulipa kwa mafungu kadili utakayo weza  katika kipindi cha mika mitatu au minne. Ghalama yote kwa miaka mitatu ni shilingi 1,230,000/= ambazo zitakuwezesha kupata shahada ili ikuwezeshe kuingia katika hatua ya Masters Degree, na badaye P.hD. Kwa kuwa na Shahada unaweza ukajiunga na stashahada, yoyote ile na katika chuo chotechote kile duniani. Hata hivyo bado kuna mpango wa kulipa kila unapoingia darasani shilingi elfu ishirini kama huna uwezo wa kulipa ada kwa mfumo wa mwaka. Kwasasa Madarasa ya kukodi yapo eneo la mlimani Chuo Kikuu na Jengo la Mavuno House, haya ni maeneo ambayo yatatumika kama madarasa ya Chuo kwa muda. Na ofisi zetu zipo tegeta, tunatarajia kuhamia eneo ambalo litafikika kwa urahisi baadaye. Juhudi zina fanywa kuwasiliana na Wizara ya Elimu na Tanzania Commision for Universities, ili kupata maoni na maelekezo yao. Kwa sasa chuo kinatumia usajiri wa Nchi ya Marekani, na kinasimama kama tawi la CLU-Cheek-towaga-NY. Kamati Maalumu ya Chuo imeundwa inayo shirikisha viongozi wa dini na serikali ambao watasimamia utekelezaji wa majukumu, kufikia malengo, na kuhakikisha hakuna mwanafunzi atakae athirika, na walimu hawapati hasara. Mtazamo na lengo letu ni kumwezesha mwanafunzi kuwa karibu na Mwalimu na kufika kwa urahisi bila usumbufu.

Walimu watatoka wapi?

 Walimu watatoka katika vyuo vyetu Vikuu vilivyopo tayari, Open University, Tumain University, Na Univesity of Dar Es Salaam UDSM,University of Arusha,  Idara ya Sociology, na nyingine na n.k. Tunao walimu wengi waliopo nchini wenye uwezo mkubwa kusaidia wanafunzi katika mradi wao wa Elimu.  Kwa kufanya hivyo, inatupasa kujua ni eneo gani la mji linafaa kwa wanafunzi kufikika kwa urahisi na kwa ghalama nafuu. Hata hivyo, waalimu pia wangependa kuwa karibu na maeneo yao ya kazi ili waweze kumsaidia mwanafunzi kupata vitendea kazi na Elimu bora. Kwa sasa masomo yanayofundishwa ni haya; ART (Christian Arts) BIB (Bible)  BLA (Biblical Languages)  BUS (Business) COU (Christian Counseling) EVA (Evangelism)  GOV (Government) HEA (Health)  INT (Intercession)  LEA (Leadership)  MIN (Ministry) PRO (Prophetic) REN (Renewal)  SCI (Science)  THE (Theology) WOR (Worship). Baada ya kujisajili na kulipia utaelekezwa jinsi ya kusoma na kukamilisha malengo yako ya kwenda juu. Kwa  Wale wa mikoani watapatiwa nafasi maalumu ya kuishi kwa ghalama ndogo sana na watatakiwa kutenga muda kila muhura kwa ajili ya kuja Dar Es Salaam, ili kusoma wakiwa darasani. Hata hivyo, juhudi zitafanywa kuwafuata wanafunzi huko huko waliko ili kuwapatia unafuu wa ghalama za Hosteli. Hosteli tulizo nazo ni za mkataba na zinategemea, kutolea taarifa mapema.

Matarajio na Mpango wa miaka 20?

 Tunatarajia, kufungua matawi Mbeya, Mwanza, na Arusha kama idadi ya wanafunzi itafikia kuweza kuripia ghalama za walimu kuwafuata. Kuwa na wanafunzi zaidi ya mlioni nne wanao soma Degree zote katika maeneo yao bila kupata shida ya Bodi ya Mikopo, na kuishi mbali na familia zao.  Baadhi ya walimu watapatikana hukohuko waliko wanafunzi. Pamoja na masomo haya tunashauri wanafunzi wasio na elimu ya kidato cha nne, wasome masomo ya majaribio (QT) na hatimae kufanya mtihani huo na baadaye waingie kufanya mtihani wa Kidato cha nne, na sita ili waweze kupata uwezo wa kujiunga na vyuo vikuu katika ngazi ya stashahada (Masters) katika chuo kingine chochote na kwa masomo yoyote, ya Educations,  Jaurnalism, Banking, Accountancy, Law, Bussines Administartion na Economics.

Kumuwezesha mwanafunzi

 Swala la kusoma Ni la mwanafunzi alie tayari kujipanga kuwa kiongozi bora Na mwenye hekima. Endapo unatafuta Elimu ujue unatafuta kuwa juu. Ili uwe kingozi bora ni vyema kuanza sasa kusoma ili ushindane vizuri na mabadiliko ya sayansi na technologia. Hata hivyo bado taifa linahitaji nguvu kazi yenye Elimu, juhudi zako ni sehemu ya kuikombo jamii katika moja ya mapango wa Taifa na Ilani ya chama ya uchaguzi ya mwaka 2000. Uongozi Ni tatizo kubwa katika Africa Kwa vile leadership, haifundishwi Katika ngazi ya Msingi Na sekondari, hivyo, tukiwa Na waalimu wengi wenye ufahamu WA civics Na good leadership, tutaweza kujenga taifa lenye umoja Na usawa. Toa msaada wako kwa kupeleka taarifa , na sio kuikaria.  Baada ya kusoma taarifa hii nzuri na ya kupendeza chukua hatua ya kuwajulisha watu 20, wa dini zote, rangi zote na  ndipo baraka zitakufuata Isaya 43:5-8 na Mithali 4:13, mtafute Elimu, Habakuku 2;2.

FIKA TAREHE 3/10/2009 NA TAREHE 10/10/009 TEGETA KLPT-ULIZA DADA TUMAINI- KWA MCHUNGAJI MATAYO TEGETA STAND USIKOSE KUJA KUPATA MAELEKEZO MUHIMU NA UJE NA ADA YAKO NA ADMISSION FEES YA SH 15000/= PIGA SIMU NA 0715727235 KAMA UTAHUDHURIA

Piga simu namba +255784575295/+255715727235, S.L.P. 15412 Dar Es Salaam. Mratibu-Focus Komba- huna haja kwenda ulaya kwa ajili ya elimu hii, au kulipia mamilioni tena- Pia unaweza kusoma kwa njia ya tovuti toka DSM-kama unayo elimu hiyo. Wengi wamefanikiwa kupitia masomo haya. HUU ni mlango aliyosema Yesu, Mat 7; 7c bisheni nanyi matafunguliwa. Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata shoolarship kwa wale watakao hitimu shahada ya kwanza kwenda stashahada (M.sc) kwa kupitia langham partnership international-hasa katika eneo la utawala bora. Sema maombi haya- Father, I am thankful that your will is for my highest good, because I am one with you and I view life not as any opiate but as an opportunity. My father and my God, thank you for reminding me that there is no escape from reality, but face it in the knowledge that is in you. I am more than a march for anything good, AMEN. tafuta pesa kidogo tu njooo jiunge na wenzako, Katika jina la Yesu. Haijalishi una Elimu ndogo kiasi gani.

Baadhi ya Masomo yanayotolewa?

 Bible Knowledge (11courses) 

MBI 101 Law MBI 102 Histories I MBI 103 Histories II MBI 104 Poetry Books

MBI 105 Major Prophets MBI 106 Minor Prophets MBI 107 NT Histories
MBI 108 Epistles and Revelation MTH 120 Foundations of Life
MTH 121 49 Lies I Rejected  We require the following 11 courses:
1.        How to Hear God’s Voice (or) Dialogue with God
2.        How to Receive the Baptism in the Holy Spirit - 1 credit
3.        Counselled by God 4, Prayers that Heal the Heart  Guide” 5, Naturally Supernatural  6, The Great Mystery 7, Gifted to Succeed 8, Sense Your Spirit  9, Hear God Through Your Dreams  10, Wading Deeper into the River of God 11 Intimacy with the Holy Spirit  12, Elementary Economics and Financial Management Discipline Draw from electives below for a 10-course certificate or 20-course diploma are in the degree course
1.        Through the Bible - 24 credits 2, Fulfill Your Financial Destiny 3,49 Lies I Rejected When I Renounced Pharisee’s 4, Go Natural 5, Am I Being Deceived?
2.        How Do You Know? 6, Sound Doctrine Through Revelation Knowledge ,7,Spirit-Anointed Teaching Seminar Workbook  1 credit .
Life in the Spirit Skills (6 courses)
MRE101 How to Receive the Baptism of the Holy Spirit (1 credit- 5 pages only)
MRE 206 How to Walk in the Spirit MRE 310 Hear God through Your Dreams 
Life Skills (2 courses) MBU 102 Fulfill Your Financial Destiny
MHE 102 Go Natural Leadership Skills (3 courses) MLE 310 Apprenticed to Leadership
MLE 103 Gifted to Succeed! MLE 201 Spirit Born Creativity
MLE 206 Creative problems solving  MLR 208 Desertion Three months of Research in a Specific Goals  Ministry Skills (2 courses)
MMI 311 Spirit Anointed Teaching (1 credit – 5 pages only) MTH 410 How Do You Know? MTH 411 Sound Doctrines through Revelation Knowledge
Leadership Skills- have seven subjects includes management, strategic planning marketing and job search, Plus 18 credits of elective (60) 27 credits of practica (9) 36 credits of internship (12) total 180 credits or 60 credits course all based in the discoveries of God-given motivation and giftedness Masomo ni mengi Sana 180 jumla

President of CLU- global Dr Mark and Pastor focus komba- National Coordinator-Christian Leadership University-www.cluonline.com . Tunakuombea sana Mungu akufunulie neema hii na uwaeleze wengine 20 kwa njia hii Lete barua yako kwa; P o  Box 15412 Dar Es Salaam Tanzania. +255784575295 NA +255715727235

WASALAM KARIBU SANA

Asante
Focus Komba Ps
Representative Director of Ministry
 
Our Tanzania ID number is 92375



+255715727235

      ADMISSION APPLICATION FORM CLU-NO……………………..RE-USA no………………….……ID No Tanznaia…………….Ref General Files no………,…….
FOR OCTOBA -APRIL EACH YEAR OF STUDY CLU-TANZANIA MISSION  CLU offer religious diploma, degree in areas which all range from Associated to Doctoral discipline levels. Fill this form and send to:  Christian Leadership University P.O. Box 15412 Dar Es Salaam Tanzania for further scrutiny and processing. No specific prerequisite is required Mat. 28; 19-20 than your commitments to become good leader and serve people.
PERSONAL DETAILS:
1. Name in Full

2. Date of birth

3. Place of birth

4. Gender

5. Nationality

6. Religion

7. Present Place of Domicile

8. Marital Status

9. Language/SPOKEN

10. Postal Addresses

11. Mobile Phone

ACADEMIC BACKGROUND
PRIMARY,SECONDARY, UNIVERSITY
                          AWARDS
YEAR



Category of Degree Intended


REFEREES AND CONTACTS
PROOF OF PAYMENTS & SIGANTURE

………………………….……………………
DETAILS

CHURCH OR ORGANISATION REFERENCE/ work details or place of domicile if any.
1
POSITISION
EMPLOYER
FROM
TO
 DESCRIPTION
REMARKS







The primary purposes of this Diploma/Degree are to help strengthen my walk with God, and to help in equipping me for Christian ministry, specifically to become a Spirit-anointed leader. I am fully aware that this is a Christian ministry, which believes the Bible is the Word of God and that the Bible is the authority upon which my spiritual growth and prayer ministry will be based. I declare that I am enrolling in Christian Leadership University willingly and of my own free will.
Signature of the Student……………………Full Name….…….….....Witness…………..................................Date…………………….Signature…………………………
Christian Leadership Seminary does not have a residential campus. All of the work is done from your own home or in the daily class planned. At this point we have evidence that you want to earn a diploma/degree from Christian Leadership Seminary (CLU). You also qualify for Mission Student Status. You may keep in touch and ask any questions you may have. Fill out an enrollment application form now or contact Mr. Focus Komba, National Coordinator by calling at + 255 784 575295/  +255715727235  +255717051633 or inquire to for further details     WWW.CLUONLINE.COM, CHEEK-TOWAGA N.Y U S A
Mission Department Head            Date Received                Approved By      File Number

………………………………..           …………………..              ………………..     …………….
We will guide our students in building a broad –based paradigm for discovering truth .They will discover their God given motivations and
Giftedness. Enroll now for your future M.Sc and PhDs programmed around the world. The cost structure is attached at the back of this form

THE FEES STRUCTURE OF THE DIPLOMA AND DEGREE LEVEL
PART ONE --ADMISSION ADMINISTARTION
1
Registration
Sh 15000=
HOSTEL
STUDENTS
3-Recent Picture, PP
2
Identity card
5000/=
FOOD
STUDENTS
FLASHES
3
Stationery
25000=
CERTIFICATES
$15
ABILITY TO READ
4
Graduation
Joho TSh 50,000/=
TRANSPORT
STUDENTS
ENGLISH BIBLES
PART TWO –COST OF CLASS STUDIES AND TUITION FEES
SEMESTER ONE
SEMESTER TWO
SEMESTER THREE
SEMESTER 4
EXAMNS
TSH-145,000/=
TSH-145,000/=
TSH-105,000/=
TSH-165,000/=
30,000/=
The cost can change at any time  due to market trend
THE COST CAN CHANGE AT ANY TIME  DUE TO MARKET TREND
TOTAL PER 4 Semester
PER YEAR OF STUDY
410,000/=

CHRISTIAN      LEADERSHIP            UNIVERSITY
School of graduate studies
Admission into Diploma and Degree
Course for 2009/2010 Season
A.       Christian leadership university invite applications for from candidates wishing to pursue Diploma and Degree in leadership, ministry, pastoral ship and education under distance E-learning Programmed are due to start in August 2009. These are Distance Mode Outline Program with few seasons that will take students into class at our main campus in Dar es Salaam or New York. Furthermore, students will access learning materials and seek a coordinator in Dar es Salaam or anywhere in the country to discuss of on how to use the materials and present their result. The present method is Lamad
B.       Minimum Qualification
A candidate must have at least a Standard V11 with English knowledge, form four/six leaver with a credit in English, Bible knowledge history, or with zeal to work in Christian Ministry.
Duration 12, semester in 3-4 academic year, Tuition fees per year 410,000/- the college will support keen students the rest OF THE COST. HOW TO APPLY: Application forms can be obtained from the centre for virtual learning located at NYAKATI NEWS PAPER OFFICE, UTATU OFFICE AN TEGETA KLPT CHURCH,
APPLICATION DEADLINE :                     20/Nov/ 2009
Application Fee:    Non refundable                Tsh 15,000/=for Tanzanian students
    Us $ 20 for Foreign students  Christian Leadership University, Key Scripture
C “The Lord shall make you the head and not the tail …. You only shall be above, and you shall not be underneath… you shall lend but you shall not borrow …”Deut .28:12,13.

CLU’s statement of purpose:
D. The purpose of Christian Leadership University is to raise up Spirit-anointed leaders who can hear the voice of God, understand the principles of the Bible and allow the Holly spirit to apply these principles to the various disciplines of life E.We will guide our students in building a broad –based paradigm for discovering truth .They will discover their God given motivations and giftedness,

CLU’s Mission Statement
F. It’s the mission of Christian leadership university to rise up leaders in every discipline of life who can relatively integrate Biblical principles and spiritual anointing.
G. And how to allow the voice, vision and anointing of God to flow through these motivations and gifts to disciple  the areas in which they work and minister .Students will become skilled at integrating the heart and the mind .
G. This will contribute to fulfilling the great commission of Jesus, to “Go therefore and make disciples of all the NATIONS ….”(Matt.28; 19) and enable to students to continue to Masters and PhDs in the highest level.
Mission Statement
“To provide an accessible and affordable holistic education which empowers individuals to continue
learning and serving the church, the nation, and international communities.”
Philosophy and Vision
“To meet the intellectual, physical, psychological, social, and spiritual needs of the students in order
that their educational experience will prepare them for their service to meet the glory of God and their fellow men as well as for the life of greater serve in hereafter.”
Objectives
·          To enable students to integrate consistent Christian values with the sound teaching principles.
·          To produce graduates of outstanding moral Standards that will in turn help to lay good morale
 Standards for the future generation
Admission Policy
The University has a selective admission policy Admitting student who desire for quality education And who are willing to abide by and co-operate, With the university policies. It is committed to serving at a low costs to all. A broad range of students from within and outside of Tanzania.

Christian Leadership University (CLU)
NAFASI YA MASOMO 2009
Tunakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo  ngazi ya Diploma na Degree, Hosteli zipo. Walengwa ni wenye maono na Elimu ya Msingi, Form 4, Form 6. Masomo yataanza tarehe 15/10/09 na wanafunzi wote wafike Kanisa la KLPT-tegeta standi. Tarehe 3/10/2009 na tarehe 10/10/2009 saa 3 asubuhi. Masomo yanasimamiwa na CLU New York, Miaka 2 Diploma na 3 kwa Shahada. Ghalama zote ni ndogo sana. Fika upate maelekezo zaidi. Form za maombi zinapatikana (gazeti la Utatu, au aktika ofisi zetu tegeta ) au kanisa la klpt- tegeta dada tumaini Kwa maelezo zaidi  kwa anuani ifuatayo; CLU- P.O.BOX 15412 Dar Es SalaamTel 0784575295/0715727235 , Mithali 4;13.


$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$


TUNAKARIBISHA MAONI MAWAZO NA MAREKEBISHO YA KISHERIA NA MIPANGO YA KIMAENDELEO YA MRADI HUU.
 TAFADHARI SHIRIKI KAMA MWANA JAMII MZAWA.
Thank you in advance for helping us helps others achieve their destiny!

 PRINT KAZI HII GAWA KWA WATU 20 LEO UTABARIKIWA TU


Christian Leadership University (CLU)
NAFASI YA MASOMO 2009
Tunakaribisha maombi ya kujiunga na chuo   ngazi ya Diploma na Degree,Hosteli zipo. Walengwa ni wenye maono na Elimu ya Msingi, Form 4, Form 6. Masomo yataanza tarehe 15/10/09 na wanafunzi wote wafike Kanisa la KLPT-tegeta standi. Tarehe 3/10/2009 na tarehe 10/10/2009 saa 3 asubuhi. Masomo yanasimamiwa na CLU New York, Miaka 2 Diploma na 3 kwa Shahada. Form za maombi zinapatikana (gazeti la Utatu) au kwa anuani ifuatayo au  klpt kwa dada tumaini; CLU- P.O.BOX 15412 DAR ES SALAAM TEL 0784575295/0715727235 PART, Mithali 4;13 for it is your life

KARIBU KANISANI JPILI TUPO BUNJU B KARIBU NA KITUO CHA MABASI







Newer Post Older Post