LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

Eloi Eloi Gospel Singers, Watoto waliojitolea kupambana na Shetani


Ni Kundi la Muziki wa Injili la hapa Tanzania lenye makazi yake Mbagala Maji Matitu, jijini Dar es Salaam, likitoa huduma kwenye Huduma ya Hakuna Lisilowezekana (BCIC-Tekeme), likiundwa na watoto mbalimbali.
Moja ya kazi kubwa ambayo wanasema kuwa huifanya ni kumwimbia Mungu kulingana na nafasi wanazopata hasa siku za Jumapili kwa kuwa wote ni wanafunzi hivyo kwa siku za kawaida inakuwa ni ngumu kutumika ipasavyo.
Pamoja na kuwa na umri mdogo lakini Kundi la Eloi Eloi Gospel Singers limekiwa nikipata mialiko katika maeneo mbalimbali nje na ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Cassian Theodory ambaye ni mwalimu wa kundi hilo anesema kuwa yapo mengi amabayo yanasababnisha kufanikiwa kwao lakini kubwa kuliko yote ni kujiweka kwenye maombi mara kwa mara bila kuchoka hivyo huduma yao kupata kibali mbele za watu na kwa Mungu pia.
“Hii ni huduma ambayo ina vita kali na kama mtu ukiacha kumkabidhi Mungu ni wazi kuwa Sherani anapata nafasi ya kuiingilia, ila maombi ndiyo silaha tiosha,” amesema Theodory.
Katika siku za hivi karibuni Kundi hilo limepata nafasi ya kueneza Neno la Mungu kwa njia ya uimbaji katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam pamoja na mikoa ya Pwani, Morogoro, Zanzibar na Tanga huku mialiko mingine ikiwa ni kutoka Kenya.
Hivi sasa Eloi Eloi Gospel Singers ina jumla ya albam mbili ambazo ni Baraka za Mungu,ambapo ndani yake kuna nyimbo kama Baraka za Bwana, Sina Baba, Haleluya, Vya Dunia, Hizi ni nyakati na Jamani Dunia, huku wakiwa mbioni kukamilisha albamu ya pili iitwayo Usiusemee Moyo.
Katika albam hiyo ya pili, ina nyimbo kadhaa ndani yake ambazo ni Alfa na Omega, Mchaka Mchaka, Majaribu, Ipo njia na nyingine nyingi.
Aidha Theodory amefafanua kuwa katika miaka ya sita ambayo wamekuwa kwenye huduma hiyo ya uimbaji, zimeibuka changamoto mbalimbali za kila siku ambazo zinahitajika kufanyiwa kazi.
Miongoni  mwa changamoto hizo ni pamoja na ukosefu wa fedha kulingana na ghama za kuandaa kazi yenyewe, uharamia wa kazi zao zinapokuwa zipo sokoni pamoja na usambazaji usio na tija kwa waimbaji wenyewe.

Newer Post Older Post