LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KABULA J.GEORGE AFANYA KWELI KWENYE MKESHA USIKU WA LEO

 Kabula J.George akiimba kibao chake cha Pesa ambapo watu waliofika kwenye mkesha uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Huduma ya Neno la Upatanisho Bustani ya Edeni Kitunda Kivule walishindwa kukaa kwenye viti vyao na kuanza kuimba naye.
 Kabula akiimba wimbo wa Pesa huku akionesha noti ya shilingi 10,000/=
 Mkesha wa leo ulikuwa wa baraka sana. Picha ya juu na chini zinamuonesha muimbaji wa muziki wa Injili nchini Josephine Mwansulama akimtukuza Mungu na kibao chake kinachotesa kwa sasa cha  Matesa.

 Mwanadada aliyeshika mic ni Renata Samba akiimba kibo cha Mungu anaweza, huyo anatoka Moshi akiwa na Kabula J.George kulia kwake na kushoto kwake ni Tom Benard akifuatiwa na Lembo Junior.
 Sifa John naye alikuwepo kwenye mkesha huo wenye baraka
 Picha za chini zinamuonesha mwanamuziki wa Injili Tom Benaed akiimba vibao vyake viwili kimoja cha Mungu anaweza na Siku moja nilipookoka.




 Lembo Junior naye tulikuwa naye kwenye mkesha huo, hapa anaimba kibao chake kinachotesa sasa cha Nitembelee.


Newer Post Older Post