LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

ZISIKILIZE NYIMBO HIZO MBILI KWA MAKINI, WENGI ZIMEWAHUDUMIA, ZISIKILIZE NA KUZIANGALIA KWA KUMANISHA



Yawezekana una muda mrefu ndani ya ndoa yako ukiwa huna mtoto, pengine jirani, rafiki ama ndugu zako wanakubeza kutokana na maisha magumu unayopitia. Nakuomba rudia tena kuzisikiliza nyimbo hizo kwa kumanisha hakika hautabaki kama ulivyoanza kuziangalia na kuzisikiliza. Nyimbo hizo zimefanyika msaada mkubwa kwa watu waliokuwa wamebezwa na kusimangwa kutokana na changamoto zao walizokuwa wanazipata katika maisha yao. Nakusihi uuachie moyo wako upokee ujumbe huu kwa makini. Watu wengi Jehova amewafungua vifungo vyao baada ya kuusikiliza kwa utulivu. Ukisha sikiliza mwambie na mwenzako, nakushauri ununue DVD ama VCD ili usikilize kwa utulivu nyumbani kwako ama ndani ya gari yako.Waweza kuwasiliana nasi kwa simu namba
+255 757 140 336, +255 658 140 336 ama +255 755 240 136, +255 656 215 572.

Newer Post Older Post

One Response to “ZISIKILIZE NYIMBO HIZO MBILI KWA MAKINI, WENGI ZIMEWAHUDUMIA, ZISIKILIZE NA KUZIANGALIA KWA KUMANISHA”

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Ni mojawapo ya nyimbo bora kabisa za injili ya Kiswahili. Ni nyimbo zilizojaa upako na zinaweza kutenda miujiza mtu ukifungua moyo na kumkaribisha roho Mtakatifu wakati unazisikiliza. Mungu Aendelee kukutumia binti wa Yesu.