LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

DVD YA NITANG'ARA TU YAZINDULIWA KWENYE VIWANJA VYA BIAFRA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwinjilisti Kabulu George akiimba wakati wa uzinduzi wa albamu yake ya Nitang'ara Tu uliofanyika Julai 8 katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam
Mwinjilisti Kabula na mwanaye (katikati) Glory George wakiimba wimbo wa Nitang'ara tu wakati wa uzinduzi wa albamu hiyo.
Mwinjilisti Kabula akisoma risara kwa mgeni rasmi Sabana Salinja pichani haonekani, aliyenyuma ni mtangazaji wa kituo cha Capital Radio, Costantine Mihambo.
Mama mchungaji (katikati) Faraha Moleli akiiombea DVD hiyo kabla ya kuzinduliwa.
Mgeni rasmi Sabana Salinja akisema neno baada ya kuizindua DVD ya Nitang'ara Tu.
Sabana akisoma jinsi ilivyoandikwa DVD hiyo kwa juu.
Mzee Kapama akinunua DVD hiyo baada ya kuzinduliwa.
Mwinjilisti Kabula akiteta jambo na George Kayala wakati shughuli ya kupiga munada DVD hiyo ikiendelea.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Yallaeva akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Tulufaina Mbaga akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Janeth Mrema akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Ami Mwakitalu akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Lembo Jurnior akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili mama mchungaji Faraja Moleli akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Sifa John akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili Amon Mwakalukwa akimtukuza Mungu kwa njia ya wimbaji siku hiyo.

Newer Post Older Post