JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
HABATI BUKUKU AIPUA ALBAMU MPYA
Monday, July 16, 2012
Gospel Music Center
Baada ya kutesa na albamu ya ''Nimesamehewa dhambi sio majaribu'' iliyojaa nyimbo nyingi zenye ujumbe mzito kama wimbo uitwao Waraka wa Hamani, mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Bahati Bukuku amekuja na albamu mpya aliyoipa jina la Dunia na sasa nyimbo hizo zinatesa katika vyombo mbalimbali vya habari.Akizungumza na TGM jana leo akiwa mjini Mwanza, Bukuku alisema kuwa wimbo wa Dunia umebeba ujumbe mzito ambao unamafundisho kwa watu wanaopenda kuwahukumu wenzao wanapoona wametenda dhambi.
“Namshukuru Mungu nimekabilisha albamu yangu ya nne na imejaa nyimbo zenye mafunzo mazito na nina aamini kila atakayefanikiwa kuzisikiliza atajua ni kwa jinsi gani Mungu ananitumia wakati wa utunzi wa nyimbo hizo kwani huwa situmii akili zangu,” alisema Bukuku.
Post a Comment