LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MAGRETH AKERWA NA WAIMBAJI WANAOENDEKEZA FEDHA

Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Magreth Sembuche amedai kukerwa na waimbaji wenzake wanaotanguliza fedha kwanza badala ya kutoka
huduma na kuwafanya waeleweke vibaya katika hajamii.
Akizungumza na TGM jijini Dar es Salaam, Magreth alisema kuwa hali hiyo imetoa tafasiri kwa watu kwamba uimbaji sasa umegeuzwa kuwa biashara tofauti na siku za nyuma.
“Nalia na waimbaji wenzangu ambao wanatanguliza fedha kwanza kabla ya kutoa huduma. Nawaomba wawe na kawaida ya kuimba katika roho na kweli na suala la fedha liwe la mwisho,” alisema Magreth.
Mwimbaji huyo anayetamba na kibao cha Msafara wa Mamba alisema kuwa, hali hiyo imekuwa ikimkera na inamnyima usingizi.

Newer Post Older Post