LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

NANI KAWALOGA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI?


Huwa kila kukicha najiuliza swali hili na huwa sipati jibu la nani kawaloga waimbaji wa muziki wa Injili nchini. Hakuna asiyejua kuwa waimbaji hao ni watumishi wa Mungu ambao wanahubiri neno la Mungu kwa njia hiyo ya uimbaji lakini matendo wanayofanya hayaendani kabisa na huduma yao.

Ukisikiliza nyimbo zao utafikiri wao ni wacha Mungu wa kweli kwani hutia faraja na kuwafanya watu wawe karibu na Mungu zaidi kwa kukiamini wanachokiimba. Lakini ukweli ni kwamba waimbaji wengi wa muziki huo wako tofauti kabisa na wanachokiimba.

Kiburi, majivuno, kujisikia, masengenyo na kupenda fedha na kutopendana kunaongoza ndani ya waimba injili hao. Swali ni Mungu yupi wanayemhubiri?

Ni ukweli usiopingika kuwa waimbaji wa muziki wa injili hawapendani kabisa. Natoa hoja nini kifanyike ili tuondokane na hali hii. Na je kweli tatizo hili linaweza kumalizika? Gonga www.kabulageorge.blogspot.com utoe mawazo yako ili kila mmoja apate elimu hii.  

Newer Post Older Post