LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MCHUNGAJI MTIKILA KUHUKUMIWA LEO

Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu leo inatarajia kusoma hukumu ya Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anayekabiliwa na kesi ya kuchapisha na kusambaza waraka wa uchochezi dhidi ya Rais Kikwete. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkuu Mfawidhi, Ilvin Mgeta wa mahakama hiyo.Katika kujitetea kwake, Mchungaji Mtikila alifunga ushahidi wake akiwa na shahidi mmoja na yeye akiwa shahidi wa pili. 

Inadaiwa kuwa kati ya januari mwaka 2009 na Aprili 17, 2010 Dar es Salaam, kwa nia ya uchochezi mshitakiwa alisambaza kwa umma nyaraka zilizosema ‘Rais Jakaya Kikwete kuangamiza Ukristo’, ‘Wakristo waungane kuweka mtu Ikulu’ alinukuliwa Mtikila.Katika shitaka la pili, Aprili 16, 2010 eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam, bila kibali Mchangaji Mtikila alikutwa akimiliki waraka wenye uchochezi kwa jamii.

Newer Post Older Post