LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MADAMU RUTI ALIA NA MAKANISA

Madamu Ruti Mwafupe

Mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Madamu Ruti Mwafupe amedai kulizwa na makanisa yanayoshindwa kuwasaidia watu wenye uhitaji kama wagonjwa waliolazwa hospitalini.  

Akizungumza na TGM jana jijini Dar es Salaam, Madamu alisema kuwa hospitalini kuna baadhi ya watu wanakosa fedha ya kununua hata chakula wakati watumishi wa Mungu wanakula na kusaza.

“Hata vitabu vitakatifu vinasema; dini iliyo safi isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa,” alisema Madamu.
Mwimbaji huyo alisema kuwa endapo makanisa hayo yangejiwekea utaratibu wa kuwasaidia wagonjwa kila wiki, ingewawezesha baadhi yao kupona haraka kwani wengi wanachelewa kupata uponyaji kutokana na kushindwa kupata mlo ulio bora licha ya kutumia dawa zinazohitaji kula chakula kingi.
Mwimbaji huyo hivi karibuni alienda kutembelea wagonjwa katika hospitali ya Ocean Road na kutoa misaada ya vitu mbalimbali vyenye thamani ya laki 7 na fedha tasilimu laki 500.

Newer Post Older Post