JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
Matamasha
Saturday, September 27, 2008
Gospel Music Center
Safu hii inasomwa na watu mbalimbali Tanzania na kila pembe ya dunia kama unatarajia kuandaa tamasha la muziki wa injili ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albam nitumie maelezo yatamasha ama uzinduzi pamoja na picha yako huduma hii nitakutolea bure. Picha na maelezo yatume kupitia gergeekayala@yahoo.com . Ukitaka kutangaza shughuli hiyo itakugharimu kiasi kidogo cha fedha ambazo ni Tsh. 10,000/= tanzango litadumu kwa muda wa miezi mitatu hadi minne. Kwa walio mikoani tupa pesa zako kupitia akaunti yako kupitia ………na kisha nijulishe kwa kupitia 0755- 240 136.
Post a Comment