LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

waimbaji

Karibu sana katika ukumbi wa waimbaji wa muziki wa njili kutoka pande zote za dunia. Safu hii inakupa wewe mwimbaji wa muziki wa injili kujitangaza dunia nzima kwa maana watu wanaosoma mtandao huu ni wadunia nzima. Tuma picha na maelezo ya huduma yako ya uimbaji nami nitakutolea katika mtandao huu bure. Endapo umeshatoa albamu na unataka dunia ifahamu hivyo. Nitumie kasha (kava) la CD ama kanda ili kuitangaza kanda yako. Picha na maelezo yatume kupitia gergeekayala@yahoo.com Kumbuka biashara ni matangazo katika hili itakugharimu kiasi cha Tsh.10,000/= na itadumu kwa muda wa miezi miwili. Kwa wale wa mikoani malipo yapitie kwenye akaunti No. 052-1047356 na kisha nijulishe kwa na 0755 – 240 136.

PATA NAKALA YAKO YA “NOTI BANDIA” YAKE EMMANUEL NKWABI.


Kwa Majina naitwa EMMANUEL NKWABI(EMMANUEL SWEYA NKWABI)Mzaliwa wa Mwanza wilaya ya Magu kijiji cha Nyaluhande nilizaliwa Mwaka 1977

Nili soma shule mbili nikianza na shule ya msingi Nyaluhande 1989 hadi 1992 nikiwa darasa la nne ndipo nilihama nikaenda kusoma shule moja inaitwa Mwamagulu Mwaka 1992 hadi Mwaka 1996 nanilihama kutokana na mazingira yahuko Wasukuma huwani wafugaji kwahiyo nikahamia huko iliniwe nachunga Ng'ombe pia kusoma.

Mwaka 1996 nilipomaliza elimu yangu ya msingi sikuendelea na Masomo ya Sekondari kwamaana sikufauru napia sikuendelea na masomo ya Sekondari kwasababu ya wazazi wangu hasa Mama kushindwa kunisomesha,kwanini naseme Mama nikwasababu Baba yangu mzazi waliachana na Mama yangu nakuniacha Baba nikiwa mdogo so mpaka sasa sijui Baba yangu aliko japo nasikia yukohai.

Mwaka 1997 Apr nilipata bahati yakwenda kuishi Arusha ambapo Dada yangu mtoto wa Mama yangu mkubwa aliyekuwa akiishi Arusha alinichukuwa kwa lengo la kwenda kuniendeleza kielimu lakini alichonifanyia nikuniweka Dukani kwake kama mfanyakazi wake huku akinidanganya ananitafutia shule ya Ufundi ARUSHA TECHNICAL Maana kweli nilikuwa nimejiandaa kama sijapata shule ya Sekondari basi niende Ufundi maananilikuwa napenda sana kuwa Fundi UMEME.

Nilipokaa kwake nakuona hakuna lolote linalofanyika ilibidi niwempole kusubiria nini kitafanyika lakini hakuna chochote Dada yangu huyo alifanya,Huku nikiendelea na Wokovu Dada yangu aliinuka sana juuyangu nakuanza kunitangaza kwa Ndugu zangu kwamba mimi sitakikufanya kazi isipokuwa napenda sana kwenda kanisani hukunikiacha Biashara yake,ndipo alipo amua kunirudisha nyumbani Mwanza tena kwa ghafla walahakunipa chochote isipokuwa 20000tu!!

Nilipofika Mwanza huoulikuwa Mwaka 1998 nilikaa lakini sikuwa na Amani yakuendelea kuishi Mwanza Magu ndiponikaamua nirudi Arusha lakini sio kwa Dada yangu tena,nilipofika Arusha majira ya saa 11alfajili maana nilitumia njia ya Mwanza,Nairobi,Arusha,ilibidi niende kwa Mchungaji ambaye ndie alikuwa Mchungaji wangu EMMANUEL NNKO aliyekuwa anachunga kanisa la Beroya (EAGT)pale KALOLENI.

Basi nilikaa miguuni pake ndipo nilipoanza kufundisha kwaya ya hapo Kanisani tangu Mwaka 1998 hadi 2002,na wakatiwote huo nilikuwa najishughulisha na kazi za Ujenzi nikiwa kama msaidizi wa Fundi,nilifanya pia kazi zakuuza Mitumba lakini Biashara hazikunipa mafanikio,baadae nikafanya kazi za Garden kama Mtunza Bustani na Mkulima wa Vibarua kwakisukuwa wanaitwa NEMELEJA!

Wakati nikiendelea nakuwa mtunza Bustani na mkulima wa Vibarua(NEMELEJA)Kuna Dada mmoja ambaye tulikuwa tunasali nae akawa anasomea Komputer wakaja WAZUNGU kwahicho chuo na wakataka kupata Vijana ambao watawasaidia kuwafundisha Komputer bure,ndipo aliponiijia nakuniambia niende pale watanisaidia,
Niliogopa kidogo maana nilijua Komputer niyakusomewa na watu wenye elimu kubwa wanaojua Kiingereza lakini yule Dada aliniona akiliyangu ni Active akanitia Moyo kwamba ningeweza,basi ilibidi niende hapo chuoni wakanifanyia Interview nikapata nafasi yakujiunga na Mafunzo ya Komputer,Asubuhi nilienda Bustanini na Mchana saa8 niliingia darasani,kwa mda huo pia nikawana hudhuria mafunzo ya Lugha kidogo ya Kiingereza japosikuendelea sana kwa ukosefu wa hela
Lakini Mafunzo ya Komputer nilifanya mpaka tukamaliza kwa mda wa miezi 3,nikapata cheti kilichonionyesha kwamba nimesomea PROGRAM KAMA 1.Introduction to Komputer 2.MS WARD 3.MS EXCEL 4.MS ACCESS 5.MS PUBLISHER 6.MS PPOINT etc ambazo ni Basic,na kwakweli naweza kuzitumia japosio saana,na Malengo yangu nikuchukua Adivance of Computer

Mwaka 2003 nilianza kutunga nyimbo zangu japo hazikuwa zakiufundi sana lakini zilionekana kukubarika sana Jamii nanikaendelea kuimba kama mwana Kwaya,


Kwa leo ngoja nikomee hapo tutaendelea wakati mwingine,utafanya vizuri kama utanirudishia HISTORIA YANGU HII ili nikitaka kuendelea nijue nili ishia wapi.Ubarikiwe mpendwa

Newer Post Older Post