LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013
WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.
JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA
KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.
ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.
IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404
REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI
Mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince unavyoonekana sasa ukiwa umeharibiwa na tetemeko la ardhi lililotokea siku ya Jumanne.
Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince unavyoonekana sasa ukiwa umeharibiwa na tetemeko la ardhi lililotokea siku ya Jumanne.
Mbali na kuitishwa kwa mkutano huo wa kimataifa, Marekani imetoa kiasi dola milioni 100 kwa ajili ya kuwasaidia watu wa Haiti.
Rais Barack Obama wa Marekani na Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa wameitisha mkutano wa kimataifa kuhusu Haiti kufuatia nchi hiyo kukumbwa na tetemeko la ardhi siku ya Jumanne.
Rais Sarkozy pia anatarajiwa kufanya mazungumzo na Rais wa Brazil, Lula Inacio da Silva na Waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper. Rais huyo wa Ufaransa amesema nchi yake itashirikiana kwa karibu na washirika wake wa Umoja wa Ulaya na pia atafanya ziara Haiti kwa ajili ya kukutana na rais wa nchi hiyo, Rene Preval.
Wakati huo huo, Rais Obama ametangaza kuwa Marekani itatoa msaada wa awali wa dola milioni 100 kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Haiti na kwamba juhudi za uokozi za Marekani zinaendelea kupangwa haraka iwezekanavyo.
Kiasi watu 50,000 wanahofiwa kufa kutokana na tetemeko hilo la ardhi na watu wengine wanaokadiriwa kufikia milioni tatu wanahitaji msaada wa dharura.
Wakati huo huo, wananchi wa Haiti wameanza kushikwa na hasira kutokana na kuona kuwa misaada inachelewa kuwafikia. Katika mji mkuu wa nchi hiyo, Port-au-Prince, waandamanaji walizuia barabara kwa kuweka maiti kati kati huku wakitaka kupatiwa haraka misaada ya dharura. Ukiwa ni usiku wa tatu tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini humo, chakula na maji bado havipatikani kwa urahisi. Watu wengi bado wamefunikwa na vifusi vya majengo yaliyodondoka. Wafanyakazi wa mashirika ya misaada wameonya kuwa idadi ya vifo inaweza ikaongezeka haraka kama watu waliojeruhiwa hawatapatiwa msaada wa haraka katika siku chache zijazo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon amesema kuwa maafisa 3,000 wa umoja huo wanafanya doria katika mitaa mbalimbali kwa hofu kuwa hasira hiyo inaweza ikasababisha ghasia, kama misaada ya kimataifa haitafika haraka.
KAMA UNA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI POPOTE DUNIANI TUMA KWA EMAIL HII. productiongmk@gmail.com. NAMI NITAZIWEKA KWENYE BLOG HII BILA GHARAMA YOYOTE. NAKARIBISHA HABARI ZA MATAMASHA YA INJILI, MIKUTANO, RATIBA ZA MAKANISA, SEMINA, HARUSI NA MAMBO MBALIMBALI KWA AJILI YA KUWAJULISHA WANAULIMWENGU. WASILIANA NAMI KWA NAMBA ZIFUATAZO. +255 712 001 880, +255 755 240 136.
Post a Comment