LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KABULA J.GEORGE AKIMSIFU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI

Kabula J.George wa kwanza kushoto akimsifu Mungu kwa furaha kubwa akiwa sambamba na mwimbaji mwenzake Renatha Samba kutoka Moshi wakiwa ndani ya Huduma ya Neno la Upatanisho iliyopo Bustani ya Edeni Kivule (Matembele ya Kwanza Kivule). Hii ilikuwa Jumapili ya Septemba 19,2010. Asikwambie mtu bwana, kumwimbia Mungu kunaraha, mcheki Kabula alivyofurahi pamoja na swahiba wake Renatha.
Mtumishi wa Mungu Mwihava kutoka Mbeya naye alifika ndani ya Huduma ya Neno la Upatanisho wiki hii na kuungana na watakatifu wengine wa Mungu kumtukuza kwa kumuimbia nyimbo za sifa.
Vijana wa Sauti za Sifa nao wakimtukuza Mungu, picha ya juu ni wapiga vyombo, hakika ilikuwa ni ibada yenye uwepo wa ajabu.

Mungu siku zote hukaa katika sifa. Baada ya kumsifu Mungu kwa kumaanisha, uwepo wake ulishuka na kisha kila mmoja kujikuta yupo katika hali ya kumwabudu Mesia katika roho na kweli. Picha za juu zinamuonesha Kabula na Renatha wanavyomwabudu Mungu katika roho na kweli.

George Kayala naye wa katikati naye alijikuta anazama kwenye kumwabudu Mungu licha ya kuwa kwenye mitambo ya kurekodi mahubiri ya Mpakwa mafuta wa Bwana, Askofu Nicolaus Suguye.
Sauti za Sifa nao wanaonekana wakiwa wanamwabudu Mungu kwa kusujudu, hakika kila siku huduma hii huwa na mambo ya tofauti. Unakaribishwa kwenye mkesha Ijumaa wiki hii utakaoanza majira ya saa 4:00 usiku.

Newer Post Older Post