LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

ROSE MHANDO: MSAMA NI ZAIDI YA BABA WATOTO


Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando hatimaye amefungua kinywa chake na kumuzungumzia Promota Alex Msama.
Akizungumza na mtandao huu hivi karibuni Jijini Dar, Rose alisema mengi yamesemwa kuhusu yeye na Promota huyo, "Lakini ukweli wa Mungu, Msama ni Meneja wangu toka naanza sanaa hii." Alisema Rose.
Aliongeza kuwa kwasababu hiyo nafasi ya Msama kwake ni zaidi ya baba wa watoto wake kwa vile amechangia sana kuyafanya maisha yake kuwa na nafuu.
Aidha, Rose aliongeza kuwa na kwakulitambua hilo ndiyo maana yeye hakosi kushiriki Tamasha la Injili  linalofanyika kila mwaka.
"Nashiririki Tamasha la Injili kwasababu amenitoa chini, hata mwaka huu, mwaka ujao, kunako uzima nitakuwepo,"alisema Rose.
Akaongeza kuwa, wale wanaosema hana nyimbo mpya za kurusha hewani siku ya Tamasha, wafike wasikie mambo yake mapya.(Picha kwa muji wa mtandao).

Newer Post Older Post