LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

Tuzo za Rose Mhando kufanyika Aprili



TUZO za Muziki wa Injili za Groove 2011 zinazofanyika nchini Kenya ambazo Rose Mhando alipata nafasi ya kuwa Mwimbaji Bora kutoka Tanzania kwa mwaka jana, zinatarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka huu kwenye Ukumbi wa KICC jijini hapa.

Mchakato wa tuzo hizo za kila mwaka chini ya Kampuni ya Mo Sound Entertainment umeanza ambapo majina ya wasanii watakaoingia katika kuwania yatatangazwa Machi 29, kisha kuanza kupigiwa kura hadi usiku wa siku ya sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo.

Watanzania wengine waliopendekezwa kuwania tuzo hizo mwaka jana ni Christina Shusho, Bahati Bukuku, Boniface Mwaitege na Upendo Nkone.

Newer Post Older Post