LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

AJALI YA MELI YA SKAGIT; MATUMAINI YA KUOKOA WATU WALIO HAI HAYAPO TENA

Miili ya baadhi ya watoto waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo jana. Picha kwa hisani ya blog ya Issa Michuzi
Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza kupatikana kwa miili 31 ya watu waliopoteza maisha kutokana na kuzama kwa meli ya Skagit, matumaini ya kuwapata watu waliohai mpaka sasa yamefifi.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, jeshi la polisi halina vifaa vya kuzama mpaka chini ya meli na kuangalia kama kuna uwezekano wa kuwakuta watu wakiwa hai.
Mpaka sasa watu zaidi ya 145 wameshaokolewa. Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi alisema meli hiyo ilikuwa na abiria 290 watu wazima 250, watoto 31 na wafanyakazi wa meli 9.

Newer Post Older Post