LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

JANE MISO KUKAMILISHA USAJILI WA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA

Usikumbuke uovu wangu mimi, Rehema zako nazihitaji… nimekutenda uovu mwingi baba …… nisamehe Bwana ……., hayo ni baadhi ya maneno yaliyomo katika kibao chake alichokipa jina la ‘Usikumbuke’.Wimbo huo naweza kusema ndio ulimtambulisha Jane Miso katika medani ya muziki wa Injili ukiacha kibao cha Omoyo ambacho nacho kimekamata hisia za watu wengi kutokana na midundo yake.Mbali na uimbaji, Jane anatarajia kufungua kituo cha kulelea watoto yatima na sasa yupo katika hatua za mwisho za kukisajili. Kituo hicho kitajulikana kama Ebeneza Distuet Bridge. Kwa sasa anaishi na watoto wanne ambao anawatunza nyumbani kwake.

Newer Post Older Post