LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

MWINJILISTI KABULA KUWANG’ARISHA SAUTI ZA SIFA

Mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Mwinjilisti Kabula George anayetamba na kibao chake cha Nitang’ara Tu, kesho Jumamosi hii atawag’arisha wanakwaya wa Sauti za Sifa wanaotarajia kuzindua albamu zao mbili Enendeni kwa Roho na Pokea Sifa.

Akizungumza na TGM jijini Dar es Salaam, mwalimu wa kwaya hiyo Elibariki Isango alisema uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) iliyopo Matembele ya Pili Kivule chini ya Nabii Nicolaus Suguye.

Isango alisema kuwa Mwinjilisti Kabula ataungana na waimbaji wengine kama Miriam Lukindo, Christina Shusho, mchungaji Faraja Mollel, Wilson John toka Arusha na Wacha Mungu bendi.

Wengine ni Ami Mwakitalu, Madamu Luti & Chris, Queen Talaba na Magreth. Mwalimu Isango aliendelea kusema kuwa siku hiyo hakutakuwa na kiingilio isipokuwa watauza CD zao na pesa itakayopatikana itatumika katika ujenzi wa jengo la huduma hiyo.

Isango amewataka wakazi wa Kitunda, Ukonga, Gongo lamboto, Vigunguti na maeneo mbalimbali ya jijini la Dar es es Salaam kufika kwa wiki siku hiyo.

“Muda mrefu nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa wadau wa muziki huu wakihitaji CD zetu, hivyo siku hiyo ni vema wakafika kwa ajili ya kujipatia nakala hizo ambazo huenda zisionekane tena sokoni baada ya uzinduzi,” alisema Isango.

Newer Post Older Post