LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

EPHRAIM MWASASU AFANYA UMISIONALI MIKOANI

MWANSASU

Mwimbaji wa muziki wa injili nchini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania lililopo Riverside jijini Dar es Salaam, Ephraim Mwasasu anafanya huduma ya umisionali katika mikoa mbalimbali.

Akizungumza na TGM asubuhi hii, Mwansasu alisema kuwa yeye na watumishi wengine wa Mungu wana miezi mitatu wakiwa mkoani kwa ajili ya kuwaleta watu wengi kwa Yesu na kupanda makanisa maeneo ambayo hakuna makanisa.
Mwansasu alisema ziara hiyo itamalizika Oktoba 10, 2012 katika mkoa wa Arusha na kurudi Dar es Salaam kuendelea na huduma ya kichungaji.
Ziara ya kimisionali ilianzia Iringa kisha wakaenda Katavi- Mpanda, Morogoro, Manyara, Mbeya mjini maeneo ya Viwanja vya CCM Ilomba, Rujewa – Ubaruka na jana walikuwa Igulusi miji iliyo ndani ya bonde la Usangu wilaya ya Mbarali mkaoni Mbeya.
Leo Septemba 14 wanaendelea na huduma hiyo katika wilaya ya Mbozi mji wa Tunduma.

Newer Post Older Post