LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

BARAKA KUIZINDUA BARAKA ZINAKUJA

                         Muonekano wa kava la Baraka

                            Baraka Legembo

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Baraka Watson Legembo anatarajia kuizindua albamu yake ya kwanza yenye nyimbo nane Januari 27 mwaka huu maeneo ya Changanyikeni ikiwa katika mfumo wa CD.
Akizungumza na TGM jana jijini Dar es Salaam, Legembo alisema kuwa kwa sasa yupo katika hatua za mwisho za maandalizi hayo ikiwa ni pamoja na kuongea na waimbaji watakaoimba siku hiyo.
“Namshukuru Mungu kwa kukamilisha albamu yangu ya kwanza yenye nyimbo nane na ninatarajia kuizindua Januari 27 maeneo ya Changanyikeni na kutakuwa na waimbaji mbalimbali watakaoimba siku hiyo,”
Legembo alisema kuwa lengo la kufanya uzinduzi huo ni kukupata fedha ambazo zitamuwezesha kurekodi video ya albamu hiyo ambayo imekuwa ikiuliziwa na wadau wa muziki huo kila anapoenda kuhudumu.
“Kila ninapoenda kuhudumu kwa njia ya uimbaji, wadau wa muziki huu huwa wananiuliza kama nina DVD hivyo basi nimeona nivema nikapata fedha ili nitimize kiu yao,” alisema Legombo.
Mwimbaji huyo amewataka wapenzi wa muziki huo kumuunga mkono siku hiyo kwani wao ndiyo watakaomwezesha kufanikisha ndoto zake hizo za kurekodi video ya albamu ya Baraka Zinakuja.

Newer Post Older Post