LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

CHIMBUA MZIZI YA RWECHUNGULA IKO TAYARI

                Muonekano wa kava la CD ya William Rwechungual

Albamu ya nyimbo za injili itwayo Chimbua Mzizi ya mwimbaji, William Rwechungula imekamilikana na  anatarajia kuiingiza sokoni hivi karibubuni ikiwa katika mfumo wa CD.Akizungumza na TGM jana jijini Dar es Salaam, Rwechungula alisema kuwa albamu hiyo iliyobeba nyimbo nane ni nzuri na haichoshi kuisikiliza hivyo amewaomba wadau wa muziki huo kumuunga mkono kwa kununua nakala halisi.
“Nimefanikiwa kukamilisha albam yangu ya kwanza ikiwa na nyimbo nane na hii inanipa mwanya mwingine wa kuiweka katika mfumo wa video kama wadau wa muziki huo wanavyotaka nami nitafanya hivyo haraka iwezekanavyo,” alisema Rwechungula.
Alizitaja nyimbo zinazounda albam hiyo kuwa ni Chimbua Mzizi, Amani Duniani, Adam na Eva, Maji ya Uzima, Safari Inaendelea, Wema wa Baba na Nuru ya Baba.
Rwechungula amewaomba wadau wa muziki huo kuipokea kwa mikono miwili albam hiyo ambayo nyimbo zake ni nzuri kwa kununua nakala halisi badala ya kuchukua zinazouzwa na maharamia wa mitaani.
“Naomba wapenzi wa muziki wa injili waniunge mkono kwa kununua nakala halisi kuliko kuchukua kwa mahabaramia ambao wamekuwa wakijipatia fedha kwa njia haramu,” alisema mwimbaji huyo.

Newer Post Older Post