LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

PROPHETESS AILETA DVD YAKE TANZANIA

Prophetess Alice

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Kenya, Prophetess Alice ameileta Tanzania albamu yake itwayo Yesu Ni Mwema iliyokatika mfumo wa DVD yenye nyimbo zipatazo 10 nakuomba aungwe mkono kwa kununua nakala halisi.
Akizungumza na TGM jana jijini Dar es Salaam, Prophetess alisema sababu za kuileta Tanzania DVD yake hiyo ni ueneza neno la Mungu kama ambavyo maandiko yanamtaka kueneza injili duniani kote na ameanzia hapa nchini.
 “Natambua Watanzania wanapenda sana nyimbo za injili ndiyo maana nimefunga safari kutoka Kenya mpaka hapa ili waniunge mkono kwa kununua nakala za DVD hizo na ninafanya mpango zianze kuonekana Tanzania nzima hivi karibuni,” alisema Prophetess.
Alizitaja nyimbo zinazounda DVD hiyo kuwa ni Yesu Yu Mwema, Jipe Moyo, Mpokee Yesu, Tumrudie Yesu, Umbali Umenitoa, Wana wa Israeli, Ulimi, Nakuhimidi, Yesu Ni Mwema na Yesu Tumaini.
Mwimbaji huyo akiwa hapa nchini, atafanya ziara ya uimbaji katika makanisa mbalimbali kwa lengo la kueneza neno la Mungu kwa njia hiyo ya uimbaji na amewaomba wachungaji, wainjilisti, mitume na manabii kumpa ushirikiano atakapokuwa anatoa huduma ya uimbaji katika huduma zao.
Prophetess amewataka pia waimbaji wa nyimbo hizo hapa nchini nao kumuunga mkono kwani wote wanafanya kazi ya kueneza ujumbe wa Mungu kwa njia hiyo.

Newer Post Older Post