LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

STARA THOMAS: SIO DHAMBI KUFAYA KOLABO NA WASANII WA BONGO FLEVA

LINEX PICHA KWA HISANI YA fullshangweblog.com

STARA

Mwimbaji wa muziki wa njii nchini Stara Thomas ambaye awali alikuwa upande wa  Bongofleva amesema kuwa haoni kama kuna dhambi ya kufanya kolabo na wasanii wa miondoko hiyo kwani hiyo ni kazi kama kazi nyingine.

Akizungumza na TGM muda mfupi uliopita, Stara alisema kuwa anatambua watu wengi watasema mambo mengi lakin yeye anajua uhusiano wake na Mungu jinsi ulivyo na hata aangalia kelele za watu.

TGM: Habari Stara

STARA: Salama kaka,pole na kazi. Nipo location nashuti filamu yangu inayokwenda kwa jina la Bloken Familia.

TGM: Nataka kuongea nawe kunakitu nimekisikia tunaweza kuongea?

STARA: Karibu kaka

TGM: Nashukuru, nimepata habari kuwa umerekodi wimbo moja na msanii wa muziki wa kizazi kipya Linex ni kweli?

STARA: Ni kweli,kuna tatizo gani? Sioni kama ni kosa kwani hiyo ni kazi kama kazi nyingine.

TGM: Watu wanahoji kama weli umeokoka na unaimba nyimbo za dini kwa nini uimbe a kijana huyo badala ya kuimba na wanainjili wenzako?

STARA: Wakisema hivyo watakuwa wanakosea na wafanya ubaguzi wa hali ya juu. Sioni kama kuna kosa. Hivi kipi kizuri, kufanya kazi ikaonekana mbele za watu na kufanya umalaya lipi zuri? Watu waache kuwahuku watu, wenye kutoa hukumu ni Mungu pekee. Naomba ieleweke kwamba kuna waimbaji wengi wa muziki wa injili watatupwa motoni huku baadhi ya waimbaji wa Bongo fleva wakiingia peponi. Watu wanafanya mambo ya sirini hatusemi, leo Stara akafanya hivi anaonekana mwenye dhambi. Mungu ndiye anajua wokovu wangu na si wanadamu. Nilichokifanya kwa Linex ni kazi halali, hivi watu wanataka nifanye umalaya ndiyo wafurahi?

TGM: Nashkuru nikuache uendelee na kazi ya kushuti tutawasiliana wakati mwingine.

STARA: Sawa kaka karibu wakati mwingi.

Newer Post Older Post