LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

WILLIAM ASIMULIA ALIVYONUSULIKA NA AJALI YA GARI



Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, William Rwechungula amesema kuwa wimbo wa Wema wa Baba aliutunga baada ya kunusulika na ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni maeneo ya Tenesco barabara ya Kawe alipogongwa na gari aina ya Vitara. Akizungumza na TGM leo jijini Dar es Salaam, Rwechungula alisema kuwa siku ya tukio alikuwa anaendesha baiskeli na gari hilo lilimgonga na taili kupita juu ya miguu yake na kusababisha baiskeli yake kusagika. “Wimbo wa Wema wa Baba niliutunga ikiwa ni kurejesha shukurani kwa Mungu baada ya kuniponya na ajali ya gari ambayo ilinigonga na taili zake kupita juu ya miguu yangu lakini cha ajabu baiskeli ndiyo ilisagika mimi nikatoka nikiwa salama,” alisema Rwechungula na kuongeza; “Kila aliyefika katika tukio hilo hakuamini kama nilikuwa mzima kwani baiskeli yangu ilikuwa haitamaniki na mara baada ya tukio hilo ndipo nilipata ujumbe wa wimbo wa Wema wa Baba unaopatikana katika albamu yangu ya Chimbua Mzizi yenye nyimbo saba.” Mwimbaji huyo ambaye pia ni Kiongozi wa Vijana wa kanisa la Unificatuion lililopo Majohe amewataka wadau wa muziki huo kumuunga mkono kwa kununua CD yake ilia pate fedha itakayomwezesha kurekodi video ya albamu hiyo.


Newer Post Older Post