LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

AMON KUACHANA NA UKAPELA JUMAMOSI HII


Mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Amon Mwakalukwa anatarajia kuachana na ukapela Jumamosi hii atakapofunga ndoa na mkewe mtarajiwa Fausta Michael. Akizungumza na TGM leo jijini Dar es Salaam, Amon alisema kuwa maandalizi yote kwa ajili ya sherehe hiyo yamekamilika na ndoa itafungwa katika kanisa la injili na Uponyaji na sherehe kufanyika katika ukumbi wa  Ukonga Magereza.

Mke mtarajiwa wa Amon Fausta Michael

Amon ametumia nafasi hiyo kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha kumpata mke mwema ambaye amesema anaamini amempata kwa uweza wa Mungu na si kwa akili zake binafsi na anatarajia maisha yataenda vizuri kama walivyokusudia.

“Namshukuru Mungu kwa kunipa mke mwema ambaye hakika nina kila sababu ya kumrudishia heshima na Utukufu kwani lilikuwa hitaji langu la muda mrefu kwani kupata mke mwema si kazi ndogo hata kidogo,” alisema Amon.

Sherehe ya harusi itaanza saa 9:00 alsari na itafungishwa na mchungaji wa kanisa hilo, Stasiel Mapamba kabla ya kuelekea kupiga picha ya kumbukumbu mhimu katika tukio hilo katika maeneo mbalimbali ya jiji kisha saa 12:00 watarejea ukumbini na kuanza kula mahanju mati. Wazamiaji hawaruhusiwi ila nyote mnakaribishwa.

Newer Post Older Post