BAHATI BUKUKU AZUSHIWA TENA KIFO
Kwa mara nyingine mwimbaji wa
nyimbo za Injili nchini Bahati Bukuku amezushiwa kifo na watu wasiojulikana na
kudai kuwa amefariki ghafu. Asubuhi ya leo nilipigiwa simu nyingi na watu
kutoka nje ya nje wakiuuliza ukweli wa tukio hilo. Ukweli wa tukio hilo ni
kwamba Bahati ni mzima wa afya njema ila amefiwa na baba yake mkubwa na sasa yupo sibani kwao Mbeya. Mwanzoni mwa mwaka huu watu walizusha
tena kuwa Bahati alipata ajali wakati anatoka nyumbani kwao Mbeya. Habari
zilizovuma kila kona ya nchini zinasema kuwa mwimbaji huyo aliumia vibaya
katikaajali hiyo na kupelekea uhai wakekutoweka. Baada ya kupata habari hizo,Tanzia
Gospel Music inawalani watu wanaovumisha kifo kwa Bahati na hatujui lengo lao
ni nini.
Post a Comment