LULU, PACHA WA DOTNATA NDANI YA MBEYA AGOSTI 4,2013

WASANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU) NA PACHA WA DOTNA NI MIONGONI MWA WAGENI WATAKAOHUDHURIA TAMASHA LA KUITAMBULIA ALBAM YA NITANG’ARA TU YA MWINJILISTI KABULA GEORGE UTAKAOFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA TAREHE 4 MWEZI WA 8, 2013. SEHEMU AMBAPO LITAFANYIKA TAMASHA HILO ITATANGAZWA HIVI KARIBUNI. WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0755 240136/0712001880.

JIPATIE SOFA SAFI KWA KOMBA SOFA SHOORM MKOANI MBEYA

KOMBA SOFA SHOORM (YESU NDIYE) NI WATENGENEZAJI WA SOFA ZA KISASA NA KUZIUZA KWA GHARA NAFUU SANA. WAPO MBEYA STRIRED JIRANI NA KANISA LA HIJA MWANJELWA JIRANI NA KANISA KUBWA WA ROMA. WASILIANA NAO KWA SIMU NAMBA 0754553467 AU 0655 553467. NYOTE MNAKARIBISHWA.

ECK PRODUCTION STUDIO YA KISASA NA KIMBILIO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.



IPO MWEMBECHAI JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA WAIMBAJI KAMA ROSE MUHANDO, HABATI BUKUKU, BONY MWAITEGE,UPENDO NKONE, JANGALA SON, MWANSASU NA WENGINE WENGI WAMEREKODIA KATIKA STUDIO HIYO. WASILIANA NAO KWA NAMBA +255 656 388 404

REDIO USHINDI FM KIPENZI CHA WATU WENGI NYANDA ZA JUU KUSINI

KWAYA NYINGI KUSHIRIKI UZINDUZI WA ALBAMU YA MWINJILISTI KABULA



Ili kuhakikisha uzinduzi wa Mwinjilisti Kabula George unafana kwaya mbalimbali mkoa wa Mbeya na Dar es Salaam zitashiriki uzinduzi huo utakaofanyika Julai 21,2013 katika kanisa la Moravian usharika wa Yerusalem maeneo ya Airport. Miongoni mwa kwaya hizo ni pamoja na Kwaya ya Tarajio kwaya, Kwaya ya Sauti ya Neema Sabasaba  EAGT, Kwaya Kuu Moravian Iyunga ,Kwaya ya Injili Iyunga, Kwaya ya Maombi Iyunga, Kwaya ya Vijana Mbeya mjini, Kwaya Kuu Moraviani Airport, Kwaya ya Vijana  A, Moravian Airport, Kwaya ya Vijana  B Moraviani Airport, Kwaya ya Ufunuo EAGT na Kwaya ya Gilgali Mbalizi EAGT, Kwaya ya Tumsifu zote za mkoani Mbeya na Furaha ya Dar es Salaam.


Newer Post Older Post